Mamelodi Sundowns 0 - 0 Al Ahly SC | CAFCL | Semi-Final | 1st Leg | Loftus Versfeld Stadium | 19-04-2025

Mamelodi Sundowns 0 - 0 Al Ahly SC | CAFCL | Semi-Final | 1st Leg | Loftus Versfeld Stadium | 19-04-2025

Jina la channel inayoonyesha game wakuu nje ya azam
 
Mamelod nilikua nawakubali sana ila tangu waliposhindwa kuikamilisha ile task mpaka kufikia penati shootout na wale vitoga kuanzia pale nikawaachia laana.

Na kufuatia tukio la juzi hapo la kufungwa goli dhidi ya Esperence halafu wakafanya ufuska kulikataa kwa sababu za uongo ndio inazidi kunipa midadi ya kuendelea kuichukia.

Huu umbali wote tusingefika, tupo hapa kwasababu ya uzembe wao. Iwapo wangepiga Gongowazi ndani ya dakika 90 haya yote yasingetokea.
Al Ahly wamewaacha Masandawana wacheze
 
Hawa Al Ahly hawana forward ya kutisha msimu huu. Mamelodi ni kama wana jambo lao msimu huu, hata mpira wao umebadilika kiasi siku hizi ingawa nao final third yao ina shida.
 
Hawa Al Ahly hawana forward ya kutisha msimu huu. Mamelodi ni kama wana jambo lao msimu huu, hata mpira wao umebadilika kiasi siku hizi ingawa nao final third yao ina shida.
Mh! mamelodi wanavyocheza kama wamekunywa gongo!, hii game wasipobadilika wanalambwa!..
 
Back
Top Bottom