Mamelodi Sundowns 0 - 0 Al Ahly SC | CAFCL | Semi-Final | 1st Leg | Loftus Versfeld Stadium | 19-04-2025

Mamelodi Sundowns 0 - 0 Al Ahly SC | CAFCL | Semi-Final | 1st Leg | Loftus Versfeld Stadium | 19-04-2025

Al ahly amecheza vyema nakuzitumia nafasi kushinda mamelodi ambae amemiliki mpira zaidi...
 
Mamelod nilikua nawakubali sana ila tangu waliposhindwa kuikamilisha ile task mpaka kufikia penati shootout na wale vitoga kuanzia pale nikawaachia laana.

Na kufuatia tukio la juzi hapo la kufungwa goli dhidi ya Esperence halafu wakafanya ufuska kulikataa kwa sababu za uongo ndio inazidi kunipa midadi ya kuendelea kuichukia.

Huu umbali wote tusingefika, tupo hapa kwasababu ya uzembe wao. Iwapo wangepiga Gongowazi ndani ya dakika 90 haya yote yasingetokea.
Haya ya Uto...na Mamelodi mpaka Leo umeyahifadhi tu.
 
Naomba Masandawana wafanye kama walichofanya Gunners, furumusha timu zote zilizojiwekea ufalme kwenye kutwaa makombe ya klabu bingwa karibu kila msimu, yaani hadi michuano inapoteza mvuto maana mwisho wa siku bingwa anajulikana ni yule yule wengine mnakuwa kama wasindikizaji tu
Mwaka huu wajipumzishe bingwa awe hata hao Mamelodi kwakweli inakosa ladha
 
Back
Top Bottom