Mamelodi Sundowns |SPECIAL Thread|

Maendeleo ya timu: wachezaji wetu Lucas Ribeiro Costa, Khuliso Mudau, na Mothobi Mvala ambao walikosekana kwenye mchezo wetu uliopita dhidi ya Supersport United.

uliomalizika kwa sare ya 1-1 wanaendelea vizuri na watakuwepo kwenye mchezo wetu wa jumapili dhidi ya Maritzburg United.

MAMELODI SUNDOWNS THE SKY IS THE LIMIT.
 
Team update: mchezaji wetu Thapelo Maseko anaendelea vizuri na kuna uwezekano mkubwa akawepo kwenye mchezo unaofuata dhidi ya Maritzburg united siku ya jumapili.
 
Kwa wananchi The Sun is the limit of success πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…