Mamelodi Sundowns |SPECIAL Thread|

Mamelodi Sundowns |SPECIAL Thread|

Maendeleo ya timu: wachezaji wetu Lucas Ribeiro Costa, Khuliso Mudau, na Mothobi Mvala ambao walikosekana kwenye mchezo wetu uliopita dhidi ya Supersport United.

uliomalizika kwa sare ya 1-1 wanaendelea vizuri na watakuwepo kwenye mchezo wetu wa jumapili dhidi ya Maritzburg United.

MAMELODI SUNDOWNS THE SKY IS THE LIMIT.
 
Team update: mchezaji wetu Thapelo Maseko anaendelea vizuri na kuna uwezekano mkubwa akawepo kwenye mchezo unaofuata dhidi ya Maritzburg united siku ya jumapili.
 
Jina kamili: Mamelodi Sundowns Football Club

Nicknames: Masandawana /The Brazilians.

Nchi: Afrika Kusini.
Ngazi ya ligi: Ligi kuu ya Afrika kusini (PSL/DstvPremiership)

Kuanzishwa: 1970
Mmiliki: Patrice Motsepe.
Mwenyekiti: Tlhopie Motsepe.

Mkufunzi: Rhulani Mokwena.
Nahodha: Themba Zwane.

Uwanja: Loftus Versfeld Stadium unaochukua watazamaji 51,762.

Mataji: Ligi kuu (PSL/Dstv premiership) 13, TotalEnergies CAF Champions League 1, CAF Super Cup 1, African Football League 1, Nedbank Cup 6, MTN8 4, Telkom charity Cup 5, Telkom Knockout 4.

MAMELODI SUNDOWNS THE SKY IS THE LIMIT.
Kwa wananchi The Sun is the limit of success πŸ˜…
 
Back
Top Bottom