Mamelodi Sundowns |SPECIAL Thread|

Mamelod sijui tumejiandaaje na ushirikina. Hawa wenzetu wanaweza hata kutoa kafara ya kutoa mtu
Wakati Yanga inafanya maandalizi Simba mko bize na Yanga, subirini mtavuna mnachopanda.

Azam wanaitaka nafasi ya Pili, sasa nyinyi wekezeni kwenye ujinga msimu ujao hamchezi club bingwa.

Bingwa Yanga nafasi ya Pili wanachukuwa Azam.
 
Tulio busy na Uto ni mashabiki Mkuu😃
 
Tulio busy na Uto ni mashabiki Mkuu😃
Mafanikio ya timu yanachangiwa na mashabiki pia, ndio kitu kinawagharimu Azam Wana pesa lakini hawana watu.

Sasa nyinyi endeleeni kuwekeza kwenye ujinga wakati Waarabu wanawanywea Alkasusu mujarabu, ndio mtajuwa hamjuwi.
 
Mamelod ni Azam ya South maana kule wenye nchi ni Kaizer chiefs na Orlando...

Azam ina mfumo mbovu tu wa uongozi wakitulia ni mamelod ya Tanzania kabisa maana kila kitu wanacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…