Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

80'
pyramid wanashambulia hatari kuleee
wanaokoa Sundowns.
wanaudaka Tena pyramid .....anapiga kuleee Goalkick.
 
82'
Game on
Mpira mrefu ule kwa Mudau nambadi tatu wa Mamelodi Sundowns

Mkubwa sana ule ameshindwa kuukuta
Goalkick.
 
83'
Substitution pyramid
Anatolewa mchezaji mmoja kwa machela hapa wa pyramid

Ameingia Ahmad tawfik
Ametoka Toure.......
 
85'
Sirino anapiga corner Ile kwenda kwa pyramid.
Tafrani pale refarii anaweka sawa sasa anaruhusu.
Goalkeeper anaokoa.
 
85'
Walipigwa counter hapa Mamelodi Sundowns ilikua hatari mno shukrani kwa morena alifanya kama alichofanya inonga Jana ni corner kick.
 
85'
Walipigwa counter hapa Mamelodi Sundowns ilikua hatari mno shukrani kwa morena alifanya kama alichofanya inonga Jana ni corner kick.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ angekuwa Inonga ile ni penalty
 
87'
Foul kwenda kwa pyramid.
Chini kidogo hapa karibu na eneo la corner mita kama 8 ndani na 4 toka mstari wa Mpira kurushwa.
 
Huyo Mshahara wake unawezakuta USD 50k kwa mwezi,hamna mwenye ubavu wakumnunua Tz.
.
Unamjua GSM wewe?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ natania tu mkuu.
Usinichukulie serious kwenye hili.
 
87'
Anapiga kuleee inaokolewa .......wanamwaga maji mengine hapa Mamelodi Sundowns
OFFSIDE.
 
Kama kawaida Waarabu wanatafuta suluhu
 
88'
substitution pyramid.
Jamaa anacheleweaha muda anatoka taratibu inataka kuleta tafrani hapa.
Kipa wa pyramid kavua gloves anafunga kamba za viatu ....
Dakika Moja imeisha ......πŸ˜ƒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…