Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

80'
pyramid wanashambulia hatari kuleee
wanaokoa Sundowns.
wanaudaka Tena pyramid .....anapiga kuleee Goalkick.
 
82'
Game on
Mpira mrefu ule kwa Mudau nambadi tatu wa Mamelodi Sundowns

Mkubwa sana ule ameshindwa kuukuta
Goalkick.
 
83'
Substitution pyramid
Anatolewa mchezaji mmoja kwa machela hapa wa pyramid

Ameingia Ahmad tawfik
Ametoka Toure.......
 
Ilikuwa bonge la Chuma
Kama la Jana la Luis Konde boy
IMG-20231105-WA0079.jpg
 
85'
Sirino anapiga corner Ile kwenda kwa pyramid.
Tafrani pale refarii anaweka sawa sasa anaruhusu.
Goalkeeper anaokoa.
 
85'
Walipigwa counter hapa Mamelodi Sundowns ilikua hatari mno shukrani kwa morena alifanya kama alichofanya inonga Jana ni corner kick.
 
87'
Foul kwenda kwa pyramid.
Chini kidogo hapa karibu na eneo la corner mita kama 8 ndani na 4 toka mstari wa Mpira kurushwa.
 
87'
Anapiga kuleee inaokolewa .......wanamwaga maji mengine hapa Mamelodi Sundowns
OFFSIDE.
 
88'
substitution pyramid.
Jamaa anacheleweaha muda anatoka taratibu inataka kuleta tafrani hapa.
Kipa wa pyramid kavua gloves anafunga kamba za viatu ....
Dakika Moja imeisha ......😃🙌
 
Back
Top Bottom