GSM ni mhuni flani tu hivi chawa wa CCM mwizi wa kodi, alimdhurumu hata yule dogo Fei.Unamjua GSM wewe?
😀😀😀 natania tu mkuu.
Usinichukulie serious kwenye hili.
Yes, hii game hawakutakiwa kupoteza.Full time hapa.
Mamelodi Sundowns wapo so disappointed with results. Hawaelewi ama hawaaminj kwamba game imeisha na ni draw.
Namuona shalulile hapa ,Mudau na wengineo wakiwa wanateta jambo hapa ila sura zao hazioneshi kifurahishwa na matokeo haya.