Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

90'
mamelod wanashambulia ....wameporwa ni counter kwao
Hatari kuleeeeeeeeeeee

Anaingia kwenye 18 ......anaweka Mpira ule anachelewa mwenzake kuwahi pale .....Mpira ni Goal kick.

Nafasi hizi pyramid watazijutia.
 
90' +4
Kuna mchezaji wa pyramid aliekua anapotesa muda kutoka akasababisha tafran alipewa kadi ya Njano ya pili hivyo Akala red na alietakiwa kuingia hakiingia Tena
So pyramid wapo pungufu mtu mmoja.
Ahsante kiwatengu
 
90' +6
Anajaribu kushoot pale nje ya 18 mchezaji wa Mamelodi Sundowns......
Njeeeeeeeee
Goalkick
 
90' +7
Hatari kule golini mwa pyramid karudisha Mpira kwa kipa wake mfupi.......

Oooh anawahi goalkeeper wa pyramid na kupiga mbali kabisa.
 
Full time hapa.
Mamelodi Sundowns wapo so disappointed with results. Hawaelewi ama hawaaminj kwamba game imeisha na ni draw.

Namuona shalulile hapa ,Mudau na wengineo wakiwa wanateta jambo hapa ila sura zao hazioneshi kifurahishwa na matokeo haya.
 
Yes, hii game hawakutakiwa kupoteza.
Wamejiwekea mazingira magumu kidogo kwenda kuwashinda Pyramids kwao. Japo inawezekana sana!!

Game ilikuwa nzuri na yenye mvuto.

Twende Ulaya sasa tukawazomee Man City na Chelsea.
 
Kwa kifupi sana 90 mins stats
Shots on target
Mamelodi Sundowns 3-0 pyramids

Total shots
Mamelodi Sundowns 10-8 pyramids

Corner kick
Mamelodi Sundowns 7-5 pyramids

Offside
Mamelodi Sundowns 4-4 pyramid

Accurate passes
Mamelodi Sundowns 488-170 pyramid

Yellow card
Mamelodi Sundowns 1-1 pyramid

Red card
1 kwa pyramid.
 
Back
Top Bottom