Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

Matokeo ya Leo nimeyapenda! Yaani tunasema kila mtu ashinde MECHI zake!
 
Kundi la kibabe sana hili. Naamini Bingwa anaweza kutokea kwenye hili kundi, au lile la Yanga.
 
Nini kilimkuta Mayele; leo hakuwa kwenye roster! Hata kwenye substitution

 
Hapana, nimegundua kuwa hakucheza kwa vile alikuwa kwenye sherehe za CAF za kutoa tuzo kwa wachezaji wa mwaka.
Tuzo haiwezi kumzuia mchezaji kwenye mechi muhimu kama hiyo, tuzo ni za CAF na mchezaji ni mali ya timu na ana mkataba na timu. Mayele alinyimwa Visa ya kuingia South Africa haijaelezwa wazi tatizo hasa ni nini wajuvi wa mambo watakuja kueleza zaidi hapa. Sijui kama ni figisu ama vipi lakini issue ya Mayele ni mambo ya Visa ya kuingia South Africa
 
Kwa hiyo siyo kweli kuwa alipoteza magoli mengi ndiyo maana hakupangwa
 
Mayele alinyimwa Visa na South africa, sasa sjui ndo fitna au vipi ? Maan mi mwenyew nilikuta amepost kwenye account yake ya Instagram kuwa amenyimwa Visa ya kuingia South africa.
CAF iingilie kati, maana itafikia nchi moja kuwanyima visa wachezaji wakali wa nchi nyingine kwa makusudi ili kusaidia timu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…