Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

Mchezo wa Kundi A Klabu Bingwa Afrika

Kati ya Mamelodi Sundowns ya South Africa na Pyramids ya Egypt.

Tunategemea Mchezo huu kuwa waushindani mkubwa kwani Timu zote kwenye hili Kundi zimeshinda mechi Moja moja.

Matokeo Game ya jana 09.12.2023 kwenye kundi hili ni;
FC Nouadhibou 0
TP Mazembe 0

Msimamo wa Kundi A.
View attachment 2838121

Means huu mchezo wa leo ni mchezo muhimu sana kwa timu zote mbili.

Twende pamoja,
Utakuwa ni mchezo wa mapema kabisa.
Saa kumi jioni kwa saa za Afrika mashariki.

Tukutane hapa.

KIKOSI CHA MAMELODI KINACHOANZA.
View attachment 2838677

KIKOSI CHA PYRAMIDS KINACHOANZA.
View attachment 2838679

FT.
MAMELODI SUNDOWNS 0 - 0 PYRAMIDS
Matokeo ya Leo nimeyapenda! Yaani tunasema kila mtu ashinde MECHI zake!
 
Mchezo wa Kundi A Klabu Bingwa Afrika

Kati ya Mamelodi Sundowns ya South Africa na Pyramids ya Egypt.

Tunategemea Mchezo huu kuwa waushindani mkubwa kwani Timu zote kwenye hili Kundi zimeshinda mechi Moja moja.

Matokeo Game ya jana 09.12.2023 kwenye kundi hili ni;
FC Nouadhibou 0
TP Mazembe 0

Msimamo wa Kundi A.
View attachment 2838121

Means huu mchezo wa leo ni mchezo muhimu sana kwa timu zote mbili.

Twende pamoja,
Utakuwa ni mchezo wa mapema kabisa.
Saa kumi jioni kwa saa za Afrika mashariki.

Tukutane hapa.

KIKOSI CHA MAMELODI KINACHOANZA.
View attachment 2838677

KIKOSI CHA PYRAMIDS KINACHOANZA.
View attachment 2838679

FT.
MAMELODI SUNDOWNS 0 - 0 PYRAMIDS
Kundi la kibabe sana hili. Naamini Bingwa anaweza kutokea kwenye hili kundi, au lile la Yanga.
 
Nini kilimkuta Mayele; leo hakuwa kwenye roster! Hata kwenye substitution

1702237392432.png
 
Hapana, nimegundua kuwa hakucheza kwa vile alikuwa kwenye sherehe za CAF za kutoa tuzo kwa wachezaji wa mwaka.
Tuzo haiwezi kumzuia mchezaji kwenye mechi muhimu kama hiyo, tuzo ni za CAF na mchezaji ni mali ya timu na ana mkataba na timu. Mayele alinyimwa Visa ya kuingia South Africa haijaelezwa wazi tatizo hasa ni nini wajuvi wa mambo watakuja kueleza zaidi hapa. Sijui kama ni figisu ama vipi lakini issue ya Mayele ni mambo ya Visa ya kuingia South Africa
 
Kwa hiyo siyo kweli kuwa alipoteza magoli mengi ndiyo maana hakupangwa
 
Mayele alinyimwa Visa na South africa, sasa sjui ndo fitna au vipi ? Maan mi mwenyew nilikuta amepost kwenye account yake ya Instagram kuwa amenyimwa Visa ya kuingia South africa.
CAF iingilie kati, maana itafikia nchi moja kuwanyima visa wachezaji wakali wa nchi nyingine kwa makusudi ili kusaidia timu yake.
 
Back
Top Bottom