Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
NyoooMamelod anashinda hii game mapemansana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NyoooMamelod anashinda hii game mapemansana
Chelsea anacheza sindimba huko kwa MalkiaChelsea kapigwa
Matokeo ya Leo nimeyapenda! Yaani tunasema kila mtu ashinde MECHI zake!Mchezo wa Kundi A Klabu Bingwa Afrika
Kati ya Mamelodi Sundowns ya South Africa na Pyramids ya Egypt.
Tunategemea Mchezo huu kuwa waushindani mkubwa kwani Timu zote kwenye hili Kundi zimeshinda mechi Moja moja.
Matokeo Game ya jana 09.12.2023 kwenye kundi hili ni;
FC Nouadhibou 0
TP Mazembe 0
Msimamo wa Kundi A.
View attachment 2838121
Means huu mchezo wa leo ni mchezo muhimu sana kwa timu zote mbili.
Twende pamoja,
Utakuwa ni mchezo wa mapema kabisa.
Saa kumi jioni kwa saa za Afrika mashariki.
Tukutane hapa.
KIKOSI CHA MAMELODI KINACHOANZA.
View attachment 2838677
KIKOSI CHA PYRAMIDS KINACHOANZA.
View attachment 2838679
FT.
MAMELODI SUNDOWNS 0 - 0 PYRAMIDS
😀😀😀✌️Chelsea anacheza sindimba huko kwa Malkia
Kundi la kibabe sana hili. Naamini Bingwa anaweza kutokea kwenye hili kundi, au lile la Yanga.Mchezo wa Kundi A Klabu Bingwa Afrika
Kati ya Mamelodi Sundowns ya South Africa na Pyramids ya Egypt.
Tunategemea Mchezo huu kuwa waushindani mkubwa kwani Timu zote kwenye hili Kundi zimeshinda mechi Moja moja.
Matokeo Game ya jana 09.12.2023 kwenye kundi hili ni;
FC Nouadhibou 0
TP Mazembe 0
Msimamo wa Kundi A.
View attachment 2838121
Means huu mchezo wa leo ni mchezo muhimu sana kwa timu zote mbili.
Twende pamoja,
Utakuwa ni mchezo wa mapema kabisa.
Saa kumi jioni kwa saa za Afrika mashariki.
Tukutane hapa.
KIKOSI CHA MAMELODI KINACHOANZA.
View attachment 2838677
KIKOSI CHA PYRAMIDS KINACHOANZA.
View attachment 2838679
FT.
MAMELODI SUNDOWNS 0 - 0 PYRAMIDS
mechi iliyopita alikosa magoli ya kizembe sana, pyramids hawawezi kumvumilia
mechi iliyopita alikosa magoli ya kizembe sana, pyramids hawawezi kumvumilia
Tuzo haiwezi kumzuia mchezaji kwenye mechi muhimu kama hiyo, tuzo ni za CAF na mchezaji ni mali ya timu na ana mkataba na timu. Mayele alinyimwa Visa ya kuingia South Africa haijaelezwa wazi tatizo hasa ni nini wajuvi wa mambo watakuja kueleza zaidi hapa. Sijui kama ni figisu ama vipi lakini issue ya Mayele ni mambo ya Visa ya kuingia South AfricaHapana, nimegundua kuwa hakucheza kwa vile alikuwa kwenye sherehe za CAF za kutoa tuzo kwa wachezaji wa mwaka.
Kwa hiyo siyo kweli kuwa alipoteza magoli mengi ndiyo maana hakupangwaTuzo haiwezi kumzuia mchezaji kwenye mechi muhimu kama hiyo, tuzo ni za CAF na mchezaji ni mali ya timu na ana mkataba na timu. Mayele alinyimwa Visa ya kuingia South Africa haijaelezwa wazi tatizo hasa ni nini wajuvi wa mambo watakuja kueleza zaidi hapa. Sijui kama ni figisu ama vipi lakini issue ya Mayele ni mambo ya Visa ya kuingia South Africa
Mayele ana pengo Pyramids?. Huyu huyu anaekosa magoli yeye na kipa?Kwa game ya jana Pengo lake lilionekana
Ana msala gani?Walimnyima Visa yakuingia South Africa
Bingwa ndio anaweza tokea kwenye kundi la Yanga lakini haiwezi kuwa Yanga?Kundi la kibabe sana hili. Naamini Bingwa anaweza kutokea kwenye hili kundi, au lile la Yanga.
Mayele alinyimwa Visa na South africa, sasa sjui ndo fitna au vipi ? Maan mi mwenyew nilikuta amepost kwenye account yake ya Instagram kuwa amenyimwa Visa ya kuingia South africa.
CAF iingilie kati, maana itafikia nchi moja kuwanyima visa wachezaji wakali wa nchi nyingine kwa makusudi ili kusaidia timu yake.Mayele alinyimwa Visa na South africa, sasa sjui ndo fitna au vipi ? Maan mi mwenyew nilikuta amepost kwenye account yake ya Instagram kuwa amenyimwa Visa ya kuingia South africa.