71'
Ulipigwa Mpira hapa ...mokwena akaleta mzaha mzaha .......mchezaji wa pyramid akamvizia mokwena akapita kwenye makwapa yake akapita na ule Mpira kama mwewe....... akaingia nao kwenye 18 akitokea pembeni .......kipa akabana mwamba .....akampasia mwenzake bahati mbaya akaupiga na kutoka kidogo pembeni ya mwamba ......ni Goalkick.
Game on