This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Jitahidi KUONGEA Mpira pungyza umaandazi.Yaan mi kolo na wydad Casablanca niliona wamekutana wa level moja ,ndipo nikagundua kwamba Yanga ni timu inayocheza vizur Sana na kufuraisha na yenye mvuto[emoji23][emoji23]
Ilikua mechi kubwa.