Sijajua mkuu ....Dstv inaonesha?
Napata channel gani hapa mkuuDk 30'
Game on...
Mamelodi Sundowns 0-0 TP Mazembe
Hatari kule golini mwa Mamelodi....anamwaga maji beki wa kulia kuleeeee ......aaaah inakua kubwaaaaaa
GOALKICK.
Azam sports HD 2Napata channel gani hapa mkuu
Azam 2Channel gani wanaonesha