Mamelodi Sundowns vs Tp Mazembe | Stadium:Lucas asterpieces Moripe Stadium, South Africa | 02.03.2024 | 16:00

markup_1000044046.png
 
Dk 90''
Game on...
Mamelodi Sundowns 1-0 TP Mazembe.
Shalulile 37'[emoji460] pen.
__________

Extra time dakika 4
Zinaitwa added minutes sio extra minutes, extra minutes ni zile 30 zinazoongezwa kwenye game za mtoano matokeo yakiwa bado suluhu, ikibaki hivyo mwishowe penalti zinapigwa.

Hizo updates zako ingependeza uee una edit main thread uziweke kule juu kabisa zionekane kwa urahisi, usizichanganye huku kwenye uwanja wa comments..

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Shukran kiongozi kwa mchango wako japo kwa kidogo nilichokifanya sijaona Appreciation yako zaidi ya kutangulia kukosoa .......ila nashkuru na nimekuelewa🙏🙏🙏🙏🙏🙏.
 
Back
Top Bottom