Namna shalulile amepiga Ile penati ......
Goalkeeper alikwenda kushoto kwake na Mpira ukapita kulia kwake kwenye kona ya juu .......kwa speed Kali sana kama ya Sauli.
Shalulile akawapatia bao la kuongoza Hawa Mamelodi Sundowns.
Moderator marekebisho kwenye title .....
Uwanja unaitwa "Lucas Masterpieces Moripe Stadium" na sio kama ilivyoandikwa hapo "Lucas asterpieces Moripe Stadium"
🙏