Umeiona iyo.. kali sanaHuyu Mokoena anajua kuzipiga hizi faulo.
Mamelody hawana washabiki wengi. Timu zenye mashariki wengi ni Kaizer chief na Orlando piratesUwanja upo empty sana. Wamedhibiti idadi au muamko mdogo?
Hahahahaha serious?Dk 65'
Game on...
Mamelodi Sundowns 1-0 TP Mazembe.
Shalulile 37'⚽ pen.
__________
TANESCO wanaupiga mwingi................😐