Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Mim ni muongo wewe ni mkweli, nimekwambia nimekosea bado unanganganiaUmekose vipi sijakuelewa.
Wewe umesem mamelodi katwaa kombe mara mbili.
Nimekwambia utaje kila mwaka aliotwaa kombe. Unakimbia swali hutaki kutaja hiyo miaka
Sasa mimi na wewe nani Muongo?
Tokea simba ianzishwe sikumbuki ni lini amesha shinda uarabuni nne, yanga ndo kabisa usiwaongelee
Jamaa analazimisha watu wamfarajii kwamba mamelod ni wabovu lakin haiondoi kweli kwamba ni ukweli
Ndo maana watanzania kwenye ukweli wanataka uwaambie uongo, na kwenye uongo uambie ukweli, watanzania ni watu wa ajabu sana
Furaha yake ni umwambie mamelod ni wabovuJamaa ni mbishi alafu hana facts
Jamaa ni mbishi alafu hana facts
Simba ni wazuri zaid ya mamelodMwisho wa msimu tutaona nani bingwa.
Timu bora itakuwa bingwa
Move on nimekwambia nimekosea au wewe huwaga ukoseiFacts nimeweka.
Mwenzako kasema mamelodi katwaa ubingwa mara 2. Nimemwambia ataje miaka aliyotwaa kakimbia.
Mimi nimesema Beulzdad iliyofungwa na mamelodi haijawai kutwaa kombe wala kufika nusu fainali haijawai.
Pinga hizi hoja kwa facts na evidence
Simba ni wazuri zaid ya mamelod
Simba ni wazuri zaid ya mamelodi ndo unachotaka na kupenda kusikiaHiyo umesema wewe.
Simba hawalingani na mamelodi kivyovyote. Mamelodi yuko juu ya simba kwa Resume yake.
Ila katika timu 8 zilizofika robo.
Bado kuna timu 5 ambazo mamelodi hazizidi kwa chochote.
Na Simba amefanikiwa kuifunga 1 - 0 mojawapo ambayo ni Wydad Anasubiri marudiano Morocco.
Simba ni kapindua meza
Naona unaamisha mada Sana Mamelodi ni wazuri Sana na wamekuja kitofauti msimu Huu kwasababu wamekuwa wanapata matokeo home and away hii ndio maana inafanya watu waamini wawape asimilia kubwa ya kuchukua kombe la kombe la bingwa. Lakini uko nyuma wanapataga matokeo mazuri nyumbani kwao hawafanyi vizuri away, jambo lingine ni kuwa walikuwa hawafocus Sana kwenye michuano hii kama ligi yao.Mamelodi tishio kila mwaka anafunga watu magoli.
Ila kombe huwa haendi kubeba anaishuia njiani tu.
Wenzake kina Al ahly, Esperence, waydad huwa wanafungwa sana tu. Ila kombe wanaenda kulibebe wao.
Nimecheka sana hapo kwenye "kibudu"Na hua upo Makini na hizi nyuzi zao [emoji16][emoji16][emoji16]
Takwimu za Kibudu Vs Mayele zinaendeleaje [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji28][emoji28][emoji28] utani tu bossNimecheka sana hapo kwenye "kibudu"
Hata simba ingetokea ndo ameshinda hizo goli nne ugenini mngekuja na makala kibao kwamba mpinzani wa simba mbovu kama mlivyofanya kwa Horoya baada ya kula saba, kubalini tu simba sio level yenu.Furaha yake ni umwambie mamelod ni wabovu
Ni Tanzania pekee timu inashinda goli nne ugenin alafu mtu alazimisha ni mbovu na kumbuka kaongoza kundi
Mkuu una moyo sana kubishana na huyo jamaaHiyo umesema wewe.
Simba hawalingani na mamelodi kivyovyote. Mamelodi yuko juu ya simba kwa Resume yake.
Ila katika timu 8 zilizofika robo.
Bado kuna timu 5 ambazo mamelodi hazizidi kwa chochote.
Na Simba amefanikiwa kuifunga 1 - 0 mojawapo ambayo ni Wydad Anasubiri marudiano Morocco.
Simba ni kapindua meza
Al ahly huku kwenye Cafcl ana DNA napo, ukimuacha akafika knock out stage utakutana nae fainali ni kama Simba tu ukishindwa kumtoa hatua za awali basi utakutana nae knock out stage ni ngumu kumtoa hatua ya makundi/group stage.Ushabiki mwingine [emoji23][emoji23][emoji23] wa MCHONGO ...
Haya Al Ahly hawako vizuri na wamekupigia na watamwondoa Raja wako aliye vizuri zaidi ya Mamelodi..
Na Mamelodi jana kampa Mwarabu mwingine goli 4 kwake...
[emoji23][emoji23][emoji23].. acheni mpira uamue wenyewe kuliko kuongea visivyoeleweka...
Al Ahly kwani keshaliwa 5 mara ngapi na Mamelodi mpaka leo ndo awe MBOVU???
Ajabu Belouzdad mnamuona mdogo kisa hana kombe ila nyie mnwjiona wakubwa [emoji3064][emoji3064] aiseeHoja yetu tunaongelea Pyramid ama tunaongelea Belouzdad ?
Jana Mamelodi amecheza na Pyramid ama Belouzdad?
Huyo Belouzdad aliefungwa na Mamelodi jana ana mafanikio gani ya kusema ni timu kali kwenye champions league
2016 na 2023Umekose vipi sijakuelewa.
Wewe umesem mamelodi katwaa kombe mara mbili.
Nimekwambia utaje kila mwaka aliotwaa kombe. Unakimbia swali hutaki kutaja hiyo miaka
Sasa mimi na wewe nani Muongo?
Simba alishawahi shinda uarabuni nneHata simba ingetokea ndo ameshinda hizo goli nne ugenini mngekuja na makala kibao kwamba mpinzani wa simba mbovu kama mlivyofanya kwa Horoya baada ya kula saba, kubalini tu simba sio level yenu.