Mamelodi Sundowns wako Overrated

Mamelodi Sundowns wako Overrated

Umekose vipi sijakuelewa.

Wewe umesem mamelodi katwaa kombe mara mbili.

Nimekwambia utaje kila mwaka aliotwaa kombe. Unakimbia swali hutaki kutaja hiyo miaka

Sasa mimi na wewe nani Muongo?
Mim ni muongo wewe ni mkweli, nimekwambia nimekosea bado unangangania
Simba ni zaid ya mamelod ndo kitu unachopenda kusikia
 
Tokea simba ianzishwe sikumbuki ni lini amesha shinda uarabuni nne, yanga ndo kabisa usiwaongelee

Jamaa analazimisha watu wamfarajii kwamba mamelod ni wabovu lakin haiondoi kweli kwamba ni ukweli

Ndo maana watanzania kwenye ukweli wanataka uwaambie uongo, na kwenye uongo uambie ukweli, watanzania ni watu wa ajabu sana

Mwisho wa msimu tutaona nani bingwa.

Timu bora itakuwa bingwa
 
Jamaa ni mbishi alafu hana facts

Facts nimeweka.

Mwenzako kasema mamelodi katwaa ubingwa mara 2. Nimemwambia ataje miaka aliyotwaa kakimbia.

Mimi nimesema Beulzdad iliyofungwa na mamelodi haijawai kutwaa kombe wala kufika nusu fainali haijawai.

Pinga hizi hoja kwa facts na evidence
 
Move on nimekwambia nimekosea au wewe huwaga ukosei

Ukishaona mtu anangania kosa la mtu ambaye ame-acknowledge hujue huyu mtu ni chenga
 
Simba ni wazuri zaid ya mamelod

Hiyo umesema wewe.

Simba hawalingani na mamelodi kivyovyote. Mamelodi yuko juu ya simba kwa Resume yake.

Ila katika timu 8 zilizofika robo.

Bado kuna timu 5 ambazo mamelodi hazizidi kwa chochote.

Na Simba amefanikiwa kuifunga 1 - 0 mojawapo ambayo ni Wydad Anasubiri marudiano Morocco.

Simba ni kapindua meza
 
Simba ni wazuri zaid ya mamelodi ndo unachotaka na kupenda kusikia
 
Mamelodi tishio kila mwaka anafunga watu magoli.

Ila kombe huwa haendi kubeba anaishuia njiani tu.

Wenzake kina Al ahly, Esperence, waydad huwa wanafungwa sana tu. Ila kombe wanaenda kulibebe wao.
Naona unaamisha mada Sana Mamelodi ni wazuri Sana na wamekuja kitofauti msimu Huu kwasababu wamekuwa wanapata matokeo home and away hii ndio maana inafanya watu waamini wawape asimilia kubwa ya kuchukua kombe la kombe la bingwa. Lakini uko nyuma wanapataga matokeo mazuri nyumbani kwao hawafanyi vizuri away, jambo lingine ni kuwa walikuwa hawafocus Sana kwenye michuano hii kama ligi yao.
 
Ushabiki mwingine 😂😂😂 wa MCHONGO ...
Haya Al Ahly hawako vizuri na wamekupigia na watamwondoa Raja wako aliye vizuri zaidi ya Mamelodi..
Na Mamelodi jana kampa Mwarabu mwingine goli 4 kwake...
😂😂😂.. acheni mpira uamue wenyewe kuliko kuongea visivyoeleweka...
Al Ahly kwani keshaliwa 5 mara ngapi na Mamelodi mpaka leo ndo awe MBOVU???
 
Furaha yake ni umwambie mamelod ni wabovu
Ni Tanzania pekee timu inashinda goli nne ugenin alafu mtu alazimisha ni mbovu na kumbuka kaongoza kundi
Hata simba ingetokea ndo ameshinda hizo goli nne ugenini mngekuja na makala kibao kwamba mpinzani wa simba mbovu kama mlivyofanya kwa Horoya baada ya kula saba, kubalini tu simba sio level yenu.
 
Hiyo umesema wewe.

Simba hawalingani na mamelodi kivyovyote. Mamelodi yuko juu ya simba kwa Resume yake.

Ila katika timu 8 zilizofika robo.

Bado kuna timu 5 ambazo mamelodi hazizidi kwa chochote.

Na Simba amefanikiwa kuifunga 1 - 0 mojawapo ambayo ni Wydad Anasubiri marudiano Morocco.

Simba ni kapindua meza
Mkuu una moyo sana kubishana na huyo jamaa
 
Ushabiki mwingine [emoji23][emoji23][emoji23] wa MCHONGO ...
Haya Al Ahly hawako vizuri na wamekupigia na watamwondoa Raja wako aliye vizuri zaidi ya Mamelodi..
Na Mamelodi jana kampa Mwarabu mwingine goli 4 kwake...
[emoji23][emoji23][emoji23].. acheni mpira uamue wenyewe kuliko kuongea visivyoeleweka...
Al Ahly kwani keshaliwa 5 mara ngapi na Mamelodi mpaka leo ndo awe MBOVU???
Al ahly huku kwenye Cafcl ana DNA napo, ukimuacha akafika knock out stage utakutana nae fainali ni kama Simba tu ukishindwa kumtoa hatua za awali basi utakutana nae knock out stage ni ngumu kumtoa hatua ya makundi/group stage.
 
Hoja yetu tunaongelea Pyramid ama tunaongelea Belouzdad ?

Jana Mamelodi amecheza na Pyramid ama Belouzdad?

Huyo Belouzdad aliefungwa na Mamelodi jana ana mafanikio gani ya kusema ni timu kali kwenye champions league
Ajabu Belouzdad mnamuona mdogo kisa hana kombe ila nyie mnwjiona wakubwa [emoji3064][emoji3064] aisee
 
Hata simba ingetokea ndo ameshinda hizo goli nne ugenini mngekuja na makala kibao kwamba mpinzani wa simba mbovu kama mlivyofanya kwa Horoya baada ya kula saba, kubalini tu simba sio level yenu.
Simba alishawahi shinda uarabuni nne
 
Simba alishafika nusu fainali champions League 1976...na fainali shirikisho 1993
 
Back
Top Bottom