Simba alishafika nusu fainali champions League 1976...na fainali shirikisho 1993
[emoji736]ACHA KUDANGANYWA KATAA UONGO KATAKATA:SIMBA WALICHEZA FAINALI YA MWANASIASA WA NIGERIA SIYO SHIRIKISHO[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kuna watu wanaeneza uongo kwa kudai kuwa CAF CUP waliyofika fainali Simba ndiyo Shirikisho leo hii Siyo kweli.
Mwaka 1993 barani Afrika kulikuwa na mashindano aina tatu
[emoji2389] Kulikuwa na Champions Cup (Sawa na klabu bingwa leo hii) ambapo Tanzania iliwakilishwa na Malindi kama Bingwa wa Ligi ya Muungano Fainali ilicheza ASANTE KOTOKO na ZAMALEK, ZAMALEK wakachukua kwa penalt
chanzo
1993 African Cup of Champions Clubs - Wikipedia
οΏΌ en.wikipedia.org
[emoji2390] Kulikuwa na Kombe la washindi barani afrika (Sawa na shirikisho hivi sasa) Tanzania iliwakilishwa na Pamba ya mwanza kama bingwa wa FA cup kipindi hicho liitwa Nyerere cup fainali walicheza African Sports na Al Ahly ambapo Al Ahly ya Misri walichukuwa kombe kwa goli 2-1
chanzo
οΏΌ
African Cup Winners' Cup - Wikipedia
οΏΌ en.wikipedia.org
[emoji2392] Halafu sasa ndo kukawa na kijikombe kilichoitwa CAF CUP kilichotolewa na mwanasiasa Mashoud Abiola hiki sasa ndo Simba walicheza Fainali na Stella.Kwanza hili kombe lilishirikisha Wale wabovu wanaoshika nafasi ya 3 au 4 kwenye ligi(kwa sababu Namba1 na 2 walishiriki Klabu Bingwa ~MALINDI~Tanzania bingwa alipatikana baada ya Ligi ya muungano enzi hizo,Bingwa Wa FA PAMBA alishiriki Shirikisho.PILI michuano ilifanyika mara moja tu yule bilionea akakosa Urais akashindwa kuidhamin CAF wakaiua)
chanzo
1993 CAF Cup - Wikipedia
οΏΌ en.wikipedia.org
Kukuonesha tu kwamba kombe hili halina hadhi ya shirikisho baada ya CAF mashindano kwisha Bingwa wa Champions Cup yaani Zamalek alicheza na Bingwa wa Kombe la washindi barani afrika kombe maalum lililoitwa Super Cup mwaka 1994 (Zamalek Vs Al Ahly)
chanzo
1994 CAF Super Cup - Wikipedia
οΏΌ en.wikipedia.org
οΏΌ