Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

ilisimama dakika ya ngapi? na matokea yalikuaje?
Ilikuwa Dk ya 22'
Matokeo 0-0.

Hadi sasa 22:26 Bado haujaendelea
Ila wamesema utarejea Shortly
 
22:28hours

Match will Resume Shortly...
 
Game On 28'
0-0 (0-1)
 
Mamelodi wanapata majeruhi kwa mpigo hapa
 
Waarabu tuko pamoja na nyinyi hata mkicheza kesho kutwa
 
Back
Top Bottom