joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hivi VAR za Africa zinamatatizo mbona Mazembe kanyimwa goli la wazi kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Useng tu mkuuVAR inafanya kazi uarabuni tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Limekataliwa, mchezaji wa Tp Mazembe aliunawa mpira eti.
Refa alienda kuangalia au alisimama uwanjani kama ilivyokuwa kwa yangaLimekataliwa, mchezaji wa Tp Mazembe aliunawa mpira eti.
Refa matraackoo huyuUle mpira haukugusa mkono, kama ungegusa mkono ungebadili uelekeo sema ndio hivyo refa nae kaamua kulingana na alicho ona yeye.
Katoka huyuMasandawana watapata goli
Hivi VAR za Africa zinamatatizo mbona Mazembe kanyimwa goli la wazi kabisa.
Useng tu mkuu
Washaaga hawaMasandawana wamechapwa kimoja
Refa alienda kuangalia au alisimama uwanjani kama ilivyokuwa kwa yanga
Hamna timu hapoUBUNTU BOTHO YA NYOKO wameliwa kichwa