Mamelody Sundown vs Al Ahaly je, leo tutaona mwarabu akiaibishwa?

Head to head Al ahly mechi ya Kwanza alifungwa pale Khartoum Sudan
Alifungwa goli moja tu hivyo kama atashinda kwa tofauti ya goli mbili (2-0, 3-1, 4-2) anakuwa kamzidi Al Hilal kwenye head to head
 
Wazee wenye mipango mingi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja,mara warudi kinyumenyume, mara waote moto katikati ya uwaja yaani vituko tupu na wakiendelea na imani hizo watapasuka nyingi.
 
Al Hilal alifungwa Moja tu na Mamelody jamaa wanajua sana kucheza defensive football kitu ambacho naona Ibenge atakifanya kwa mechi zilizobaki na defensive Yao ni wanaanza kukabia kwako Lilepo,yule Capt na Jarju hawaruhusu winger zako na beki kupanda
Mamelody atapata draw Sudan na Al Alhly anaweza kufungwa kwao maana atafunguka ili ashinde
 
hapo kwa odergard umepatia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…