Mamelody Sundown vs Al Ahaly je, leo tutaona mwarabu akiaibishwa?

Msijekushangaa Al Ahly akashinda leo na kwenye kundi akajakupita wale ni wanyama wengine japo wana hali ngumu sana.
 
Sio kwa mbwembwe hzo za wachezaji
Sema Mamelody kwenye makundi wanakuwaga poa sana….. ishu ni ikifika kwenye mechi za mtoano sijui wanafeligi vp
 
Imagine al ahly anaanza kuvunja vidole kwaajili ya kufuzu kwenda robo 😁😁
Ndio mpira ulivyo.Wavimba macho wanaamini katika kushinda tu.Football haipo hivyo.Timu nzuri pia inafungwa.
 
Sio kwa mbwembwe hzo za wachezaji
Sema Mamelody kwenye makundi wanakuwaga poa sana….. ishu ni ikifika kwenye mechi za mtoano sijui wanafeligi vp
Thibitisha hilo mkuu kuwa Mamelodi min wanna pezulu huwa wana struggle kwenye mtoano, hii team ni well oiled machine
 
Msijekushangaa Al Ahly akashinda leo na kwenye kundi akajakupita wale ni wanyama wengine japo wana hali ngumu sana.
Ngoja tuone leo mjomba
 
Sio kwa mbwembwe hzo za wachezaji
Sema Mamelody kwenye makundi wanakuwaga poa sana….. ishu ni ikifika kwenye mechi za mtoano sijui wanafeligi vp
Mara ngapi wakifikaga mbona washagakuwa moto na wakabeba ubingwa vizuri tu
 
Kumbe anatokea Namibia tu hapo!

Sijui timu zetu za kariakoo zinafeli wapi kupata wachezaji kama huyu hadi kwenda kuparamia akina Chikwende
Ndiyo moja kati ya wageni wawili tu wanaoanza mamelody
 
Thibitisha hilo mkuu kuwa Mamelodi min wanna pezulu huwa wana struggle kwenye mtoano, hii team ni well oiled machine

Mimi namsaidia kuthibitisha

Msimu uliopita Mamelodi alitolewa robo fainali na timu kutoka Angola anayochezea Carlos Carrinhos yule dogo aliyewai kucheza yanga
 
Asa kutolewa msimu mmoja ndiyo kila siku?
 
Mara ngapi wakifikaga mbona washagakuwa moto na wakabeba ubingwa vizuri tu

Mamelodi ubingwa amewai kubeba mara moja tu. Ilikuwa mwaka 2016.

Toka hapo mamelodi amekuwa anatolewa kwenye mitoano hasa robo fainali
 
Mamelodi ubingwa amewai kubeba mara moja tu. Ilikuwa mwaka 2016.

Toka hapo mamelodi amekuwa anayolewa kwenye mitoano hasa robo fainali
Safari hii ndiyo bingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…