Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za mda huu wakubwa
Leo itakuwa mechi ya ki historia apo BONDENI
ALAHALY CAIRO watakuwa wageni wa mamelody sundown MASANDAWANA
ikimbukwe mechi ya kwanza al ahaly alilazimisha sare akiwa kweke je leo kipi kitampata?
Wapenzi wa simba na yanga kaeni kitako muangalie mpira safi kutoka vijana wa MAMELODY
MAIULA uyu ata Manchester United anaaza winger ya Antony
PETER SHALULILR anacheza number 9 ya nunez Liverpool
NEO MAEMA ukimuangalia kwa umakini unaweza mkataa Martin odergard wa arsenal
View attachment 2545799
Ndio mpira ulivyo.Wavimba macho wanaamini katika kushinda tu.Football haipo hivyo.Timu nzuri pia inafungwa.Imagine al ahly anaanza kuvunja vidole kwaajili ya kufuzu kwenda robo 😁😁
Yule kipara anaechomekea aliefunga bao la kwanza kule Cairo nae yupo Vizuri sana
Peter shalulile MNAMIBIA YULE
Msijekushangaa Al Ahly akashinda leo na kwenye kundi akajakupita wale ni wanyama wengine japo wana hali ngumu sana.
Thibitisha hilo mkuu kuwa Mamelodi min wanna pezulu huwa wana struggle kwenye mtoano, hii team ni well oiled machineSio kwa mbwembwe hzo za wachezaji
Sema Mamelody kwenye makundi wanakuwaga poa sana….. ishu ni ikifika kwenye mechi za mtoano sijui wanafeligi vp
Kumbe anatokea Namibia tu hapo!Peter shalulile MNAMIBIA YULE
Yes mkuu huyu ni born &breed ya KATUTURAKumbe anatokea Namibia tu hapo!
Sijui timu zetu za kariakoo zinafeli wapi kupata wachezaji kama huyu hadi kwenda kuparamia akina Chikwende
Game za Mamelody zinafanya uone Simba akiishia robo final kwa mara nyingine
Thibitisha hilo mkuu kuwa Mamelodi min wanna pezulu huwa wana struggle kwenye mtoano, hii team ni well oiled machine
Mara ngapi wakifikaga mbona washagakuwa moto na wakabeba ubingwa vizuri tu
Asa kutolewa msimu mmoja ndiyo kila siku?