Acha uongo
Ni Kweli, Kama Hujui UlizaAcha uongo
Majengo, Ndio Yanaamua? Kweli We Kiazi MviringoMakao makuu ya CAF yako wapi?
Saa Moja Ndogo We Bwimbwi?Tofauti saa moja tu na mechi zao za ligi
Mkuu mpira unaopigwa hapa mmmmmm, simba sidhani hii level wamefikia,Brazilians wanapiga pass 500 kwa timu kama hii sio mchezoUnazani atatoa ata sare mkapa?
Mbona Azam nimemtaja hapo, umesahau juzi tu nimekulamba bao 3? Chelsea, Ac Milan, inter milan, Al Ahly, Man city wote hao hawana viwanja. kumiliki kiwanja hakukupi mafanikio yoyote au hakukufanyi uwe timu kubwa.Unajuaga kila anaeiponda Simba ni yanga?
Kama bado una mawazo ayo fikra zako nifinyu mno
Mimi ni shabiki na Mwanachama wa Azam
Sishabikii team za miaka 50 na hazina ata kiwanja cha kubumba
Etihad ni chako?Mbona Azam nimemtaja hapo, umesahau juzi tu nimekulamba bao 3? Chelsea, Ac Milan, inter milan, Al Ahly, Man city wote hao hawana viwanja. kumiliki kiwanja hakukupi mafanikio yoyote au hakukufanyi uwe timu kubwa.
Gwambina, namungo, ihefu zote zina viwanja na ni timu ndogo tu kama ilivyo Azam umesikia we mbwiga
Hili ni shoga lipo kule mabwepande Achana nalo utapa laana buleSaa Moja Ndogo We Bwimbwi?
We hujui mpira, hicho ni kiwanja Cha halmashauri ya jiji la Manchester, Etihad ni mdhamini kanunua haki ya kutangaza jina lake, kama ilivyo Emirates pale London we ni boya sana hujui Chochote kwenye futboli unadandia tu vitu usivyokuwa na uelewa navyoEtihad ni chako?
Kama historia ni hiyo inabidi Simba aombe akutane na Mamelodi ili apate mtelezo wa robo.Mamelod Hawezi kuwa bingwa ukiachana na kuchukua ubingwa 2016 miaka yote iliyofuata imekuwa timu tishio tu kwenye makundi ila ikifika mtoano chalii hasa robo fainali