Mamelody Sundown vs Al Ahaly je, leo tutaona mwarabu akiaibishwa?

Mamelody Sundown vs Al Ahaly je, leo tutaona mwarabu akiaibishwa?

Acha uongo

Patrice Tlhopane Motsepe (born 28 January 1962) is a South African mining billionaire businessman. Since 12 March 2021, he has been serving as the President of the Confederation of African Football.

In 2003, he became the owner of football club Mamelodi Sundowns.
 
Patrice Tlhopane Motsepe (born 28 January 1962) is a South African mining billionaire businessman. Since 12 March 2021, he has been serving as the President of the Confederation of African Football.
Makao makuu ya CAF yako wapi?
 
Unajuaga kila anaeiponda Simba ni yanga?

Kama bado una mawazo ayo fikra zako nifinyu mno

Mimi ni shabiki na Mwanachama wa Azam

Sishabikii team za miaka 50 na hazina ata kiwanja cha kubumba
Mbona Azam nimemtaja hapo, umesahau juzi tu nimekulamba bao 3? Chelsea, Ac Milan, inter milan, Al Ahly, Man city wote hao hawana viwanja. kumiliki kiwanja hakukupi mafanikio yoyote au hakukufanyi uwe timu kubwa.
Gwambina, namungo, ihefu zote zina viwanja na ni timu ndogo tu kama ilivyo Azam umesikia we mbwiga
 
Etihad ni chako?
 
Etihad ni chako?
We hujui mpira, hicho ni kiwanja Cha halmashauri ya jiji la Manchester, Etihad ni mdhamini kanunua haki ya kutangaza jina lake, kama ilivyo Emirates pale London we ni boya sana hujui Chochote kwenye futboli unadandia tu vitu usivyokuwa na uelewa navyo
 
Mamelod Hawezi kuwa bingwa ukiachana na kuchukua ubingwa 2016 miaka yote iliyofuata imekuwa timu tishio tu kwenye makundi ila ikifika mtoano chalii hasa robo fainali
Kama historia ni hiyo inabidi Simba aombe akutane na Mamelodi ili apate mtelezo wa robo.
 
Back
Top Bottom