Hao coton ni kama vipers anapigwa tena hata Al hilal kachukua point SITA hapo.Cotton sports vs Al Ahly inachezwa Cameron, na ndio game inayofuata tareh 17, Kuna uwezekano Game ya Al Ahly vs Al hilal ya Sudani ikamkuta Al Ahly kashafungasha virago vyake
Kwasababu Mamelod kiubora yupo chini sana kulinganisha na Al Ahly na history ya michuano pia inawabeba ni sawa na kukutana na R.Madrid kwenye mtoano kule UefaKwasababu ya historia yao kwamba wanashindwaga robo au kwasababu unawamudu kiuwezo?
Upumbavu huu na wewe ninakuita pumbavuSasa usibishane na wanaojua mpira, wew hujui hata mmiliki wa Mamelodi ndio raisi wa caf? Na ndio Aliyekuwa ana mkula Barbara wa Simba paka kampa mimba?
Hujui kwanini Simba alikuwa anapata upendeleo wa ratiba hatua za mtoano?
Al hilal kaimarika sana mkuu, kapoteza game 1 tu tena kwa goli Moja dhidi ya hawa Mamelodi Tena game ikichezwa hapo south, sidhani kama atashindwa kupata droo nyumban dhidi ya mamelodiKama Al Hilal atamfunga mamelod Sudan ni wazi Al Ahly shughuli yake itakuwa imeishia hapa lakini kwa ninachokiona mpaka sasa bado wana nafasi nzuri ya kusonga
Anapigwa hapo hapo SudanAl hilal kaimarika sana mkuu, kapoteza game 1 tu tena kwa goli Moja dhidi ya hawa Mamelodi Tena game ikichezwa hapo south, sidhani kama atashindwa kupata droo nyumban dhidi ya mamelodi
Khamsaaaa๐๐๐๐๐๐Haya Tano huko
Yah. Yani Al Ahly anaweza akawa hata wa pili kwenye kundi lakini ukijiroga akaingia robo, utaenda kumwokotea fainali na kombe.Hawa Al alhy Bora watoke mana wakifika huko mtoano wanakuwa kama Madrid
True,ila ao Al hilal wenyewe ni wababe mechi ya kwanza Al ahly alipigwa kule Sudan tusubiri mechi ya marudiano tuone.Bado ana mechi mbili, moja nyumbani na Al Hilal akishinda zote anakuwa na point kumi
Ngoja tuoneAnapigwa hapo hapo Sudan
Mkuu Mollel kwenye hii michuano miaka mitano iliyopita unaweza nitajia mwaka ambao walikuwa vibaya hao Mamelod lakini jiulize wamecheza fainali ngapi au kufika nusu mara ngapi za klabu bingwa kwenye hiyo miaka mitano iliyopitaKwasababu ya historia yao kwamba wanashindwaga robo au kwasababu unawamudu kiuwezo?
Yah. Yani Al Ahly anaweza akawa hata wa pili kwenye kundi lakini ukijiroga akaingia robo, utaenda kumwokotea fainali na kombe.
Akipata droo kaishaAl hilal kaimarika sana mkuu, kapoteza game 1 tu tena kwa goli Moja dhidi ya hawa Mamelodi Tena game ikichezwa hapo south, sidhani kama atashindwa kupata droo nyumban dhidi ya mamelodi