Mameneja wa benki Waoneeni huruma dada zetu

Kuna meneja wa Exim tawi fulani hapa Dar nilimkata makofi hadharani kwa huu ujinga wa kuamini ukiwa meneja basi utazichakata papuchi hata za wake za watu kirahisi..alikua anamtongoza mke wangu kamtongoza weee mke wangu kila siku anamkatalia mpaka siku ilibidi anionyeshe text zake za mitongozo kesho yake kilichompata anajua mwenyewe..oya we meneja kama upo humu mimi ndo yule mbabe wako wa mwaka jana😂😂
 
Wauza kiepe naooooo

Ova
 
Sasa waonewe huruma ya nini wakati raha wanapata wote?

Labda kama manager huwa anabaka
 
ufanye banking hauna qualifications?

komaa na Ualimu tu uwatafune wanafunzi wa la 3
 
sasa bona na wewe usiwe manager wa bank? hii ni machungu tu uko nayo, najua hao mabinti wamekukataa maana hela huna, wakikuona wanasepa, kwahivyo acha watu watafunwe mpaka pale hao mamanager watakapochoka
anaishi kwa dada
 
picha ya mavi please
 
Uwe dereva wa gari kali la serikali au kampuni binafsi,utawala sana,uwe bodaboda,utawala sana ukitaka,uwe daktari,utawala sana ukitaka,uwe mwalimu wa chuo,utawala sana ukitaka.
Ni uamuzi wako tu.
 
Wanaume wenyewey tupo wachache muache jamaa ajilie vyake awape mimba wazae walee ss tutakujaoa masingle mother hao baadaye.
 
Wote menejaz na hao wadada wanapopoana ni wa kuonewa huruma.
Hii dhana ya mwanaume kulala na idadi kubwa ya wanawake sio ufahari wala sifa nzuri. Wanaume na nyie ifike mahala mkatae kutumika kama atm machine au chombo cha starehe

We utakuwa umeolewa wewe, unajifanya kutuhurumia wanaume kumbe lengo mmeo asikwapuliwe tu na vi-slay queen.... umesahau msoto wanaopitia hao wadada sio makanisani hadi kwa waganga ili kunasa madanga.
 
Wote menejaz na hao wadada wanapopoana ni wa kuonewa huruma.
Hii dhana ya mwanaume kulala na idadi kubwa ya wanawake sio ufahari wala sifa nzuri. Wanaume na nyie ifike mahala mkatae kutumika kama atm machine au chombo cha starehe
Tumekusikia na tutalifanyia kazi
 
Daaah sentensi yamwisho imenifurahisha sana
 
taratibu mkuu, lakini umemwambia ukweli mtupu, pili pili usioila yakuwasa nini? au hao dada ni mabinti wake, lakini ukichunguza sana huyu aliyeleta hii taarifa hapa hao kina dada wamemukataa, sasa hii ni machungu yake tu
Thubutu....waulize mashoga zako watakuambia.
Wanavyotamani V8 hasa yule dadako mfupi ila si mpend mnene sana
 
Wote menejaz na hao wadada wanapopoana ni wa kuonewa huruma.
Hii dhana ya mwanaume kulala na idadi kubwa ya wanawake sio ufahari wala sifa nzuri. Wanaume na nyie ifike mahala mkatae kutumika kama atm machine au chombo cha starehe
Kweli mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…