TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,914
- 9,472
Kuna meneja wa Exim tawi fulani hapa Dar nilimkata makofi hadharani kwa huu ujinga wa kuamini ukiwa meneja basi utazichakata papuchi hata za wake za watu kirahisi..alikua anamtongoza mke wangu kamtongoza weee mke wangu kila siku anamkatalia mpaka siku ilibidi anionyeshe text zake za mitongozo kesho yake kilichompata anajua mwenyewe..oya we meneja kama upo humu mimi ndo yule mbabe wako wa mwaka jana😂😂