Mamia ya raia wa Kenya wakamatwa wakijiandikisha kupiga kura Tanzania

Mkuu kiwanja ninacho mlete kwangu
 
Ahhahahaahhaha daaaaah.
NIMEAMIN NABISHANA NA MTU ASIYE NA AKILI TIMAMU.
TZ UKIKAMATWA WW SHOGA UNAPIGWA NA KUSWEKWA NDANI HUO USHOGA UNAKITHIRI VP?????
NA HAIRUHUSU MTU KUWA SHOGA KAMWE NA INABAGUA TABIA YA USHOGA
ILA KENYA KITENDO CHA KUSEMA HAIBAGUI TABIA YA MTU INAMAANA HT USHOGA HAIBAGUI
NI SAWA NA WW UNASEMA SIRUHUSI MTU KUFANYA ANAL SEX ILA AKIFANYA SHAURI YAKE SIMFATILI ASA HAPO NI SAWA UMERUHUSU.
MAANA UKISEMA HAIBAGUI TABIA IT MEANS WATU CHOCHOTE WAFANYACHO SAWA.
NDIO MAANA KWENU HADI LEBAL YA USHOGA IMEONEKANA NA WANAHARAKATI WAPO.
LETA USHAHIDI KUWA TZ USHOGA UMEKITHIRI????
NASUBIRI HAPA MAANA MM NIMEKUPA EVIDENCE YA MNAVYOURUHUSU USHOGA NAWE NIPE EVIDENCE.

YANI WE JAMAA UNAFIKIRIA KABLA YA KUONGEA KWELI??????
 
Heri ujambazi kuliko ombaomba. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwasababu mumezoea kupigana risasi hadharini, hamjazoea Amani, ndio sababu POLISI wenu wanaongoza kwa kuwapiga risasi raia wasio na makosa. Failed state.
 
Kweli kabisa ulivyosema, kama Tanzania ikiruhusu wakenya kuja kuishi Tanzania, ninahisi hata Uhuru Kenyatta atauvua urais wake kuja kuishi ktk nchi ya maziwa na asali.
Hii ni Dharau sasa, Umewahi kuishi Kenya mkuu, Umewahi ku evaluate, circulation ya pesa Kati ya Kenya na Tanzania?
Kenya iko vizuri kabisa kiuchumi, wewe Hujui mengi uko kisiasa tu.
 
Hiyo siyo sababu za kuwa underate wakenya eti wana maisha magumu, last month nilikuwa US, nikashangaa jamaa mmoja yupo Louisiana ana struggle kuhamia Mexico na familia yake.
Mimi naishi Kenya pia, na nilizaliwa Tanzania na mke Wangu ni mkenya.
Nilienda Burundi nikakuta Kuna watanzania wamelowea huko, naona nyie mnasumbuliwa na utoto.
 
Hii ni Dharau sasa, Umewahi kuishi Kenya mkuu, Umewahi ku evaluate, circulation ya pesa Kati ya Kenya na Tanzania?
Kenya iko vizuri kabisa kiuchumi, wewe Hujui mengi uko kisiasa tu.
Acha kuzungumza vitu usivyovijua wewe.

1) 52% ya uchumi wa Kenya upo mikononi mwa watu 9300(Hawa ni pamoja na Kenyatta na Odinga families)

2) 52% ya Government revenue inatumika kwa kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali ambao ni 2% ya wakenya wote.

3)80% ya ardhi yenye rutuba ipo mikononi mwa matajiri, wengi wao ni wazungu

4) Biggest slums in Afrika zipo Nairobi

5) Kenya ni nchi pekee Africa ambayo haina vita vya ndani lakini watu wake wanakufa kwa njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…