Accidental Genius
Senior Member
- Aug 17, 2019
- 154
- 188
Mkuu kiwanja ninacho mlete kwanguMkuu kuna jamaa yangu mkenya alishaniomba nimfanyie mpango apate pasi ya Tanzania,kuna mwingine juzi kati tu kaniomba nimfanyie mpango anunue kiwanja bongo tena akaenda mbali zaidi yuko tayari hata kuoa dada wa kitanzania ili mradi tu atimize ndoto yake ya kuishi bongo!