26 May 2025
Liverpool , Uingereza
Mamia ya watu waliojitokeza kushangilia ushindi wa klabu yao ya mjini Liverpool.
Mamlaka za mji wa Liverpool zinasema uchunguzi wa shambulio hilo kwa kutumia gari kugonga umati wa watu waliokuwa wamejitokeza kusherehekea ushindi wa klabu ya mpira wa miguu ligi ya Uingereza msimu huu wa 2024 / 2025
Wachezaji wa Liverpool waliokuwa wamepita muda mfupi katika basi la ghorofa la wazi kuonesha kombe la ushindi wao kwa mashabiki wa makao ya klabu hiyo yaliyo mjini Liverpool
Polisi wasema mtu mmoja mweupe umri wa makamo umri miaka 53 asili ya kizungu amekamatwa, na polisi wametoa wito kutotoa hukumu juu ya tukio lillilifanywa na mtu huyo kwani uchunguzi unaendelea...
View: https://m.youtube.com/watch?v=wPe_CkO7ljQ