Fascinating
Senior Member
- May 14, 2025
- 146
- 351
Wana-jamvi, mambo si shwari hata kidogo kwenye kambi ya timu ya taifa ya Senegal ("Teranga Lions") inayoshiriki Kombe la Dunia 2026 nchini Marekani. Pamoja na sifa zote na ukweli kwamba walitwaa Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (AFCON), ripoti za ndani zinaleta taswira ya kusikitisha kuhusu uongozi, usimamizi wa fedha, na uwajibikaji wa hovyo barani Afrika.
Vyanzo vinasema kuna mambo mazito yanasikitisha kambini mwao kwa sasa,
Kwa hali kama hizi, hivi vichapo vya wanavyopokea ndugu zetu wala hawapasi kulaumiwa, ni wazi hawako sawa kisaikolojia lakini pia kimaandalizi kwa hicho kichodaiwa na FSF kubana matumizi,
Sula FSF kuwa na bajeti finyu ndio swali zito la kuiwajibikaji linakuja, Mamilioni ya FIFA Yako Wapi? Kwa mujibu wa taarifa za ESPN zinasema, timu ya taifa inahitaji wastani wa katai ya Tsh bilioni 7.8 mpaka Tsh bilioni 18.2 kugharamia msafara wa timu na wafanyakazi wake wote kushiriki hatua ya Makundi nchini Marekani.
Unaweza ukadhani pesa hizo ni nyingi lakini si kweli.
Serikali ya Senegal na Wizara ya Michezo hazijaweka wazi bajeti rasmi na kamili kwa ajili ya ushiriki wa timu ya taifa kwenye Kombe la Dunia 2026, mchanganuo wa mapato ya mashindano haya unaonyesha kuwa ukata huu hauna uhalali wa kiuchumi. Fedha zilizotengwa na zilizotolewa na FIFA ni nyingi mno kulinganisha na huduma duni wanazopewa wachezaji. Lakini pia ukitazama takwimu za nyuma hususani mwa wa fedha wa 2022/23, utagundua timu ya taifa ya Senegal ilitengewa takribani billioni 54 kwaajili kuigharamia team hiyo
Ni wazi kuwa shida sio mfuko wa timu hiyo, shida ni usimamizi wa timu hiyo
Kitendawili cha Uwajibikaji wa Serikali na Shirikisho
Inashangaza kuona kuwa licha ya FIFA kutoa mamilioni ya dola kama kianzio cha maandalizi (Bilioni 3.9), kambi ya timu inalalamika kukosa fedha za kumlipa mpishi mkuu. Ripoti za kiuchunguzi zinaonyesha kuwa hali hii inatokana na usimamizi mbovu wa kiutawala na hatua kali za "kubana matumizi" zilizowekwa na FSF — jambo linalowanyima wachezaji haki zao za msingi na kuvuruga saikolojia ya timu kwenye mashindano makubwa kama haya.
Hata sakata la mkataba wa kocha Pape Thiaw limekuwa suala lisiloingia akilini. Ingawa kulikuwa na ahadi kutoka kwa Rais wa nchi hiyo kuhakikisha masuala ya mikataba yanakaa sawa, shirikisho hilo bado limekuwa likisua kusua kusaini mkataba wake mpya.
Sipendi tujitaje hapa, ila mnasikiaga huko kwenye 'press' hata sisi hapa Malawi kuna posho huwa hazilipwi mpaka jamaa wa ufafanuzi afafanue. Kama hatutajipanga mapema kulichukulia hili kama ni fundisho kwetu, huko AFCON tunapoelekea na maandalizi yake yananaweza kuwa haibu kubwa sana.
Nchi za Afrika ziache Yada Yada, Usimamizi wa fedha na uwazi wa bajeti ni nguzo kuu ya mafanikio ya michezo.
===========================
Keep an eye on what’s happening within the Senegal camp right in the middle of the World Cup. Major logistical failures and financial mismanagement by their federation are causing chaos behind the scenes… 🇸🇳🚨
The players are still owed bonuses for winning the Africa Cup of Nations and for qualifying for the World Cup, a situation that is heavily affecting the dressing room. On top of that, there are serious complaints about the poor quality of the team hotel booked in the USA.
Because the federation chose a 'low-budget' option, they didn't even bring the team chef. The players are now forced to buy their own meals at local stores just to get healthy food during the tournament, as the hotel's food isn't suitable for elite athletes. 🍔❌
To make matters worse, manager Pape Thiaw is currently working without a contract and is owed six months of back pay.
Vyanzo vinasema kuna mambo mazito yanasikitisha kambini mwao kwa sasa,
- Madai ya Posho;Wachezaji bado hawajalipwa pesa zao za zawadi (prize money) kwa kutwaa ubingwa wa AFCON pamoja na bonasi zote za kufuzu Kombe la Dunia.
- Kuishi hoteli za hadhi ya chini; Kuna malalamiko makubwa kuwa hoteli iliyowekwa kwa ajili ya kambi yao ya mazoezi nchini Marekani haina kiwango kinachostahili timu ya taifa.
- Kambi haina Mpishi; Kutokana na madai ya Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) kuwa na "bajeti finyu", waliamua kumuacha mpishi mkuu wa timu kule Senegal ili kubana matumizi.
- Wachezaji Kujilisha; Kutokana na ubora duni wa chakula cha hoteli hiyo, nyota wa timu wanalazimika kuagiza chakula cha nje kwa mifuko yao wenyewe ili tu kulinda afya zao kama wanamichezo.
- Kocha Kupiga Kazi Bila Mkataba ; Kocha mkuu Pape Thiaw anafanya kazi kwa sasa bila mkataba rasmi, huku akiwa hajalipwa mishahara yake ya miezi kadhaa iliyopita.