Mamilioni ya FIFA yako wapi? Mabingwa wa Afrika wanaishi maisha ya kubahatisha Kombe la Dunia 2026

Mamilioni ya FIFA yako wapi? Mabingwa wa Afrika wanaishi maisha ya kubahatisha Kombe la Dunia 2026

Kisa kufungwa ulitegemea senegal awafunge france, norwey kizembe zembe tu ila wangepata ushindi haya maneno usingeyasikia popote
Hata hivyo habari kama hizi sio ngeni kwa timu za Afrika. Ilishatokea kwa timu ya Nigeria, Cameroon hata kocha wa Senegal Aliu Cise alishalalamika kutolipwa. Makocha wazawa Taifa Stars vile vile.
 
Ndio sababu hawafanyi vizuri??? Acheni hizo bwana, wamechemka tu.

Morocco ndio mabingwa AFCON.....mshindi wa pili ni senegal 🇸🇳
 
Tofauti na michuano hii ya WC, ni michuano ipi tena ya WC senegel ilifika angalau hatua ya mtoano? kama ni hapana basi hata hivi vichapo wanavyopokea wanastahili.
2002 angalia walifika hatua gani
 
Tofauti na michuano hii ya WC, ni michuano ipi tena ya WC senegel ilifika angalau hatua ya mtoano? kama ni hapana basi hata hivi vichapo wanavyopokea wanastahili.
Wewe umeanza kushabikia mpira lini. Hujui kwamba Senegal ndio nchi ya pili katika Afrika baada ya Cameroon kufika robo fainali ya kombe la dunia mwaka 2002 kule Korea/Japan.
 
FIFA does not pay players directly. Instead, it distributes a record $871 million in prize and preparation funds directly to national soccer federations.

The exact amount each player is paid depends entirely on individual federations' bonus structures, match fees, and how far their team advances in the tournament. FIFA's prize money is distributed to the 48 competing football associations based on how far they advance in the 2026 tournament.

Every federation receives a minimum of $12.5 million just to cover preparation costs and participation. The remaining performance bonuses scale as follows:

Group Stage Exit (33rd-48th place): $9 million Round of 32 (17th-32nd place): $11 million Round of 16: $15 million Quarter-finals: $19 million Fourth place: $27 million Third place: $29 million Runners-up: $33 million Champions: $50 million.

How Players Are Paid Because each national federation controls its prize distribution, player compensation varies widely across different countries:

Federation Bonuses:
Most federations share 20% to 50% of this prize money with their players through match fees and progression bonuses.

Equal Pay Models:
Teams like the U.S. Men's National Team (USMNT) operate under an agreement where 80% of World Cup prize money is pooled and shared equally among the players. Advancing to the knockout stage can net US players around $200,000, with a potential $800,000 per player for winning it all.

Standard Match Fees:
Players on smaller or lower-tier federations might receive only modest daily stipends and small match bonuses. Historically, federations like the English Football Association have paid a few thousand dollars per match, which many players donate to charity. The True Earnings For most top-tier stars, World Cup tournament pay is relatively nominal compared to their massive club contracts.

The world's highest-paid players at this tournament, such as Cristiano Ronaldo, Kylian Mbappé, and Lionel Messi, earn tens of millions of euros annually from their club salaries and massive endorsement deals rather than tournament prize money.

Are you curious about how much a specific country or team is paying their players, or how players from your favorite club are earning this year? Let me know which ones you are tracking!

FIFA World Cup prize money:
What each USMNT player stands to earn. FIFA doesn't actually pay any players directly. It distributes prize funds to each national team's soccer federations like U.S. Soccer etc.

The Highest-Paid Players at the 2026 World Cup — Norway's Erling Haaland (No. 4, $80 million) and Brazil's Vinicius Jr. (No. 5, $60 million) round out the top five. FIFA announced in December last year that the 2026 World Cup financial contribution would be a record-setting.
 
Wana-jamvi, mambo si shwari hata kidogo kwenye kambi ya timu ya taifa ya Senegal ("Teranga Lions") inayoshiriki Kombe la Dunia 2026 nchini Marekani. Pamoja na sifa zote na ukweli kwamba walitwaa Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (AFCON), ripoti za ndani zinaleta taswira ya kusikitisha kuhusu uongozi, usimamizi wa fedha, na uwajibikaji wa hovyo barani Afrika.

View attachment 3613696

Vyanzo vinasema kuna mambo mazito yanasikitisha kambini mwao kwa sasa,

  • Madai ya Posho;Wachezaji bado hawajalipwa pesa zao za zawadi (prize money) kwa kutwaa ubingwa wa AFCON pamoja na bonasi zote za kufuzu Kombe la Dunia.
  • Kuishi hoteli za hadhi ya chini; Kuna malalamiko makubwa kuwa hoteli iliyowekwa kwa ajili ya kambi yao ya mazoezi nchini Marekani haina kiwango kinachostahili timu ya taifa.
  • Kambi haina Mpishi; Kutokana na madai ya Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) kuwa na "bajeti finyu", waliamua kumuacha mpishi mkuu wa timu kule Senegal ili kubana matumizi.
  • Wachezaji Kujilisha; Kutokana na ubora duni wa chakula cha hoteli hiyo, nyota wa timu wanalazimika kuagiza chakula cha nje kwa mifuko yao wenyewe ili tu kulinda afya zao kama wanamichezo.
  • Kocha Kupiga Kazi Bila Mkataba ; Kocha mkuu Pape Thiaw anafanya kazi kwa sasa bila mkataba rasmi, huku akiwa hajalipwa mishahara yake ya miezi kadhaa iliyopita.

Kwa hali kama hizi, hivi vichapo vya wanavyopokea ndugu zetu wala hawapasi kulaumiwa, ni wazi hawako sawa kisaikolojia lakini pia kimaandalizi kwa hicho kichodaiwa na FSF kubana matumizi,
Sula FSF kuwa na bajeti finyu ndio swali zito la kuiwajibikaji linakuja, Mamilioni ya FIFA Yako Wapi? Kwa mujibu wa taarifa za ESPN zinasema, timu ya taifa inahitaji wastani wa katai ya Tsh bilioni 7.8 mpaka Tsh bilioni 18.2 kugharamia msafara wa timu na wafanyakazi wake wote kushiriki hatua ya Makundi nchini Marekani.
Unaweza ukadhani pesa hizo ni nyingi lakini si kweli.

Serikali ya Senegal na Wizara ya Michezo hazijaweka wazi bajeti rasmi na kamili kwa ajili ya ushiriki wa timu ya taifa kwenye Kombe la Dunia 2026, mchanganuo wa mapato ya mashindano haya unaonyesha kuwa ukata huu hauna uhalali wa kiuchumi. Fedha zilizotengwa na zilizotolewa na FIFA ni nyingi mno kulinganisha na huduma duni wanazopewa wachezaji. Lakini pia ukitazama takwimu za nyuma hususani mwa wa fedha wa 2022/23, utagundua timu ya taifa ya Senegal ilitengewa takribani billioni 54 kwaajili kuigharamia team hiyo
Ni wazi kuwa shida sio mfuko wa timu hiyo, shida ni usimamizi wa timu hiyo

View attachment 3613693


Kitendawili cha Uwajibikaji wa Serikali na Shirikisho

Inashangaza kuona kuwa licha ya FIFA kutoa mamilioni ya dola kama kianzio cha maandalizi (Bilioni 3.9), kambi ya timu inalalamika kukosa fedha za kumlipa mpishi mkuu. Ripoti za kiuchunguzi zinaonyesha kuwa hali hii inatokana na usimamizi mbovu wa kiutawala na hatua kali za "kubana matumizi" zilizowekwa na FSF — jambo linalowanyima wachezaji haki zao za msingi na kuvuruga saikolojia ya timu kwenye mashindano makubwa kama haya.

Hata sakata la mkataba wa kocha Pape Thiaw limekuwa suala lisiloingia akilini. Ingawa kulikuwa na ahadi kutoka kwa Rais wa nchi hiyo kuhakikisha masuala ya mikataba yanakaa sawa, shirikisho hilo bado limekuwa likisua kusua kusaini mkataba wake mpya.

Sipendi tujitaje hapa, ila mnasikiaga huko kwenye 'press' hata sisi hapa Malawi kuna posho huwa hazilipwi mpaka jamaa wa ufafanuzi afafanue. Kama hatutajipanga mapema kulichukulia hili kama ni fundisho kwetu, huko AFCON tunapoelekea na maandalizi yake yananaweza kuwa haibu kubwa sana.
Nchi za Afrika ziache Yada Yada, Usimamizi wa fedha na uwazi wa bajeti ni nguzo kuu ya mafanikio ya michezo.

===========================

Keep an eye on what’s happening within the Senegal camp right in the middle of the World Cup. Major logistical failures and financial mismanagement by their federation are causing chaos behind the scenes… 🇸🇳🚨

The players are still owed bonuses for winning the Africa Cup of Nations and for qualifying for the World Cup, a situation that is heavily affecting the dressing room. On top of that, there are serious complaints about the poor quality of the team hotel booked in the USA.

Because the federation chose a 'low-budget' option, they didn't even bring the team chef. The players are now forced to buy their own meals at local stores just to get healthy food during the tournament, as the hotel's food isn't suitable for elite athletes. 🍔❌

To make matters worse, manager Pape Thiaw is currently working without a contract and is owed six months of back pay.
Sijasoma habari yote, lakini khs zawadi sijui mamilioni ya zawadi Afcon, kumbuka walinyang'anywa ubingwa so Bado Kuna kesi pia inaendelea... Na pia wameshinda usiku huu 5-0 dhidi waarabu Mashariki kati Iraq so wanaweza fuzu 32 Bora lakini wakiwaombea wengine mabaya
 
Sijasoma habari yote, lakini khs zawadi sijui mamilioni ya zawadi Afcon, kumbuka walinyang'anywa ubingwa so Bado Kuna kesi pia inaendelea... Na pia wameshinda usiku huu 5-0 dhidi waarabu Mashariki kati Iraq so wanaweza fuzu 32 Bora lakini wakiwaombea wengine mabaya
Senegal hawafiki mbali, hata hiyo ya best looser ni bahati nasibu ni kama kubeti tu.

Kila lakheri Morocco 🇲🇦 na egypt 🇪🇬 mnawachukia sana ila ball wanalijua
 
Afrika hatuna Viongozi viongozi wa mpira bali tuna madalali wa mpira, na ndio maana kuna baadhi ya wachezaji wanaamua kuchezea mataifa ya Ulaya sababu kubwa ni kujiweka mbali na ubabaishaji kama huu, Kwa kipindi hiki tunaona senegal lakini ukienda Nigeria ndio kuna uozo kabisa, Viongozi wa senegal waache mambo ya ajabu wawalipe wachezaji stahiki zao ili maisha mengine yaendelee😎
 
Ndio maana hawa jamaa naona hasajitumi kabisa kwenye mashindano.
 
Back
Top Bottom