Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi. Jimbo la West Virginia limejiunga na majimbo mengine matano kutangaza hali ya dharura.
Baadhi ya picha zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha ndege zimefunikwa na theuji na kusabisha safari 2,000 za ndege kuahirishwa.
Kentucky, Virginia, Kansas, Arkansas na Missouri zimetangaza hali ya dharura.
Majimbo 30 ya Marekani yanayoanzia katikati mwa nchi hadi Pwani ya Mashariki - ikiwa ni pamoja na miji mikuu kama Washington DC na Philadelphia - yanatarajiwa kushuhudia hali ya baridi kali.