Mamiss Tanzania bila make Ups

Mamiss Tanzania bila make Ups

yoelisahe

Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
72
Reaction score
21
bila+make+up.jpg
180582_486659531571_186044211571_6523210_3705124_n.jpg
NDANI+AUNT+NA+WOLPER.jpg
Irene+Uwoya.jpg
nn88.jpeg
nancy%2Bsumari.jpg
 
Hao hawana mekap za miguuni au za wapi Arifu?
 
Mbona wote wamejipakaa au huon vizuriii


Nasisitiza kuna watu hawaeleweki kama Mrisho Mpoto ! Mana na yeye nyimbo zake anazielewaga yeye tu na wengine wanajifanya kumuelewea !

:msela:

Maisha Mtelezo
 
Nadhani aliyekusudiwa hapa ni Wema tu na si vinginevyo
 
Hapo kdg huyo mama huruma aliyesuka twende kilio ndio naona hana make up ila zote mapowder kwa kwenda mbele.

na sababu alikua anaigiza movie kama yupo kijijini ni picha kutoka kwenye moja ya filamu zake
 
Hivi kweli eeeh??
Irene Uwoya alikua miss Tanzania mwaka gani vilee??
Sitaki kuongelea picha aliyepo Aunt Ezekiel maana waweza sema huyo miss Tanzania yupo nyuma ya huo ukuta
 
Hivi kweli eeeh??
Irene Uwoya alikua miss Tanzania mwaka gani vilee??
Sitaki kuongelea picha aliyepo Aunt Ezekiel maana waweza sema huyo miss Tanzania yupo nyuma ya huo ukuta

Mshiriki wa miss tz top 5 mwaka 2006
 
Wote wana makeups kasoro wema.. Ila jokate anayo isiyokuwa na makeup aliiweka insta.
 
Back
Top Bottom