Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kdg huyo mama huruma aliyesuka twende kilio ndio naona hana make up ila zote mapowder kwa kwenda mbele.
Mbona wote wamejipakaa au huon vizuriii
Hapo kdg huyo mama huruma aliyesuka twende kilio ndio naona hana make up ila zote mapowder kwa kwenda mbele.
Mhh wema...
Hapo kdg huyo mama huruma aliyesuka twende kilio ndio naona hana make up ila zote mapowder kwa kwenda mbele.
Nadhani aliyekusudiwa hapa ni Wema tu na si vinginevyo
Hivi kweli eeeh??
Irene Uwoya alikua miss Tanzania mwaka gani vilee??
Sitaki kuongelea picha aliyepo Aunt Ezekiel maana waweza sema huyo miss Tanzania yupo nyuma ya huo ukuta
Mbona wote wamejipakaa au huon vizuriii