Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
To be honest lijapo umakini, nidhamu na hata mwonekano Wanajeshi wa Rwanda wapo mbali sana!Mwanajeshi wa Rwanda mda wote awapo kazini ni mtu makini na mzingatifu na bila kusahau hupendeza kwa uniform safi kabisa!
KAMWE HUWEZI KUKUTA UNIFORM ZA YULE ZIMEPAUKA AMA ZA HUYO ZIPO VILE. WOTE HUFANANA KWA MIENENDO NA UMAKINI.
Kwenye hiyo picha angalia combat zao suruali za kuchomeka ndani ya kiatu zilivyobamba. Ajabu kwetu askari wa kawaida tu bado wanavaa suruali za kuvalia mokasi.
Bravo RDF kwa hilo.