Mamlaka badilisheni mwonekano wa mavazi ya wanajeshi wawe nadhifu kama hawa

View attachment 2669157
To be honest lijapo umakini, nidhamu na hata mwonekano Wanajeshi wa Rwanda wapo mbali sana!

Mwanajeshi wa Rwanda mda wote awapo kazini ni mtu makini na mzingatifu na bila kusahau hupendeza kwa uniform safi kabisa!

KAMWE HUWEZI KUKUTA UNIFORM ZA YULE ZIMEPAUKA AMA ZA HUYO ZIPO VILE. WOTE HUFANANA KWA MIENENDO NA UMAKINI.

Kwenye hiyo picha angalia combat zao suruali za kuchomeka ndani ya kiatu zilivyobamba. Ajabu kwetu askari wa kawaida tu bado wanavaa suruali za kuvalia mokasi.

Bravo RDF kwa hilo.
Una picha za askari wa bongo (Tanzania)
 
Hatupo kwa ajili ya kupendeza, tunavaa sare kwa malengo mahsusi sio kuuza nyago.
 
Ukipima tunaangalia na ujazo je umetimia?
Sasa hao mbuzi unaowasifia hapo wanauwezo wakumzidi Duma kwa mbio?
 
View attachment 2669157
To be honest lijapo umakini, nidhamu na hata mwonekano Wanajeshi wa Rwanda wapo mbali sana!

Mwanajeshi wa Rwanda mda wote awapo kazini ni mtu makini na mzingatifu na bila kusahau hupendeza kwa uniform safi kabisa!

KAMWE HUWEZI KUKUTA UNIFORM ZA YULE ZIMEPAUKA AMA ZA HUYO ZIPO VILE. WOTE HUFANANA KWA MIENENDO NA UMAKINI.

Kwenye hiyo picha angalia combat zao suruali za kuchomeka ndani ya kiatu zilivyobamba. Ajabu kwetu askari wa kawaida tu bado wanavaa suruali za kuvalia mokasi.

Bravo RDF kwa hilo.
Kwanza wamevaa gwanda mbili tofaut hiyo sio okay
 
Hamna kitu hapo
 
Hivi unadhani hayo mavazi waliweka ili wawe nadhifu au yanaendana na shughuli wanayofanya; Mfano Camouflage au mifuko mingi ili waweke vitu n.k.

Objective sio kuuza sura (hio ni objective ya kazi nyingine kuwa presentable) hayo magwanda camouflage ndio ilikuwa priority...

View attachment 2669165

Kwahio usije ukwashauri na hawa wapendeze wakaishia kupigwa risasi
Hivi ulishaona watu wa huko chama Wana akili!?
 
Wa tz walivyo na njaa Kali kuvaa unform inayong'aa huku mfukoni hawanakitu wanakua hawana tofauti na wanafunzi wa darasa la 5
 
Aina ya mavazi huendana na umbo la mtu. Wembamba warefu mara nyingi nguo huwapendeza hasa kama zimenyooka sambamba na umbo la mtu. Watu wanene wafupi tena shingo nene na kitambi juu hata ukiwatafutia suti mpya kutoka DPW bado utauona kuvaa tu lakini sio kupendeza. Wanajeshi wa Rwanda huchaguliwa kwa kufuata kipimo cha urefu waliojipangia, mbali na vigezo vingine, lakini wamefanya maboresho ya sare zao kuendana na jeshi la Marekani.
Kuna nchi moja ya ulaya, ambapo ili uingie jeshini ni lazima uwe na Mita I.7 kwenda juu, hii ni mbali na vipimo vingine (Anthropological measurements) ambavyo wamejiwekea kama vigezo muhimu. Hii inamfanya mtu kujiondoa mwenyewe kwenye kinyang'anyiro kwa kulinganisha jinsi ulivyo vis-a-vis vile vinavyohitajika.

Jeshi letu linahitajika kufanya maboresho ya sare zetu ili ziendane na mavazi ya kijeshi yanayovaliwa na majeshi mengi tu Duniani. Ukizitazama sana sare zetu ni zile za miaka ya 50-60. Polisi magereza pia wanatakiwa kuja na "Design" mpya ya mavazi ya kijeshi yanayopendeza.
 
Kila uniform na kazi yake.
Ona hii special forceikiwa kwenye mission hizi hawawezi zipiga wakiwa kitaa
maxresdefault.jpg
 
Aina ya mavazi huendana na umbo la mtu. Wembamba warefu mara nyingi nguo huwapendeza hasa kama zimenyooka sambamba na umbo la mtu. Watu wanene wafupi tena shingo nene na kitambi juu hata ukiwatafutia suti mpya kutoka DPW bado utauona kuvaa tu lakini sio kupendeza. Wanajeshi wa Rwanda huchaguliwa kwa kufuata kipimo cha urefu waliojipangia, mbali na vigezo vingine, lakini wamefanya maboresho ya sare zao kuendana na jeshi la Marekani.
Kuna nchi moja ya ulaya, ambapo ili uingie jeshini ni lazima uwe na Ft 7 kwenda juu, hii ni mbali na vipimo vingine (Anthropological measurements) ambavyo wamejiwekea kama vigezo muhimu. Hii inamfanya mtu kujiondoa mwenyewe kwenye kinyang'anyiro kwa kulinganisha jinsi ulivyo vis-a-vis vile vinavyohitajika.

Jeshi letu linahitajika kufanya maboresho ya sare zetu ili ziendane na mavazi ya kijeshi yanayovaliwa na majeshi mengi tu Duniani. Ukizitazama sana sare zetu ni zile za miaka ya 50-60. Polisi magereza pia wanatakiwa kuja na "Design" mpya ya mavazi ya kijeshi yanayopendeza.
FUTI 7 ni chai
 
Back
Top Bottom