Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
RDF wapo vizuri ki kupendeza na uniform zao hata mtaani tunawaonaHivi unadhani hayo mavazi waliweka ili wawe nadhifu au yanaendana na shughuli wanayofanya; Mfano Camouflage au mifuko mingi ili waweke vitu n.k.
Objective sio kuuza sura (hio ni objective ya kazi nyingine kuwa presentable) hayo magwanda camouflage ndio ilikuwa priority...
Hio sio Priority tena wa mtaani inabidi wawe friendly and approachable ambao hawatishi wala huitaji wanajeshi mtaani bali polisi bobby na kifimbo kama hawa wa England; kama ni hali ya hatari basi vitisho itakuwa kwenye menu ndio maana wakipeleka vifaru mtaani sio kwamba wanapanga kuvitumia bali ni kutisha watu wanyenyekeeR
RDF wapo vizuri ki kupendeza na uniform zao hata mtaani tunawaona
kwa akili yako ya ki ccm hao ni askari wa kawaida huoni ni kikosi maalumView attachment 2669157
To be honest lijapo umakini, nidhamu na hata mwonekano Wanajeshi wa Rwanda wapo mbali sana!
Mwanajeshi wa Rwanda mda wote awapo kazini ni mtu makini na mzingatifu na bila kusahau hupendeza kwa uniform safi kabisa!
KAMWE HUWEZI KUKUTA UNIFORM ZA YULE ZIMEPAUKA AMA ZA HUYO ZIPO VILE. WOTE HUFANANA KWA MIENENDO NA UMAKINI.
Kwenye hiyo picha angalia combat zao suruali za kuchomeka ndani ya kiatu zilivyobamba. Ajabu kwetu askari wa kawaida tu bado wanavaa suruali za kuvalia mokasi.
Bravo RDF kwa hilo.
Kwenu huko niniView attachment 2669157

Nje ya mada hivi Rwanda huwa kuna uhalifu au ujambazi wa kutumia silaha???View attachment 2669157
To be honest lijapo umakini, nidhamu na hata mwonekano Wanajeshi wa Rwanda wapo mbali sana!
Mwanajeshi wa Rwanda mda wote awapo kazini ni mtu makini na mzingatifu na bila kusahau hupendeza kwa uniform safi kabisa!
KAMWE HUWEZI KUKUTA UNIFORM ZA YULE ZIMEPAUKA AMA ZA HUYO ZIPO VILE. WOTE HUFANANA KWA MIENENDO NA UMAKINI.
Kwenye hiyo picha angalia combat zao suruali za kuchomeka ndani ya kiatu zilivyobamba. Ajabu kwetu askari wa kawaida tu bado wanavaa suruali za kuvalia mokasi.
Bravo RDF kwa hilo.
Yes! Upo sahihi sana. Sasa utamuwekea vazi linaloambatana na vifaa asivyoweza tumia ukizingatia huku kwetu potential requirement ni Div Four au Zero kabsaaaWana mavazi mengi mavazi uendana na shuguli wanazofanya kwa muda huo
Elimu Sio kigezo Kama ajira maana wanafundishwa upya elimu ya ujeshi ni tofaut na elimu hizi pia kuna vitengo vingi tu elimu Sio sifa.Yes! Upo sahihi sana. Sasa utamuwekea vazi linaloambatana na vifaa asivyoweza tumia ukizingatia huku kwetu potential requirement ni Div Four au Zero kabsaaa