Mamlaka badilisheni mwonekano wa mavazi ya wanajeshi wawe nadhifu kama hawa

Una picha za askari wa bongo (Tanzania)
 
Hatupo kwa ajili ya kupendeza, tunavaa sare kwa malengo mahsusi sio kuuza nyago.
 
Ukipima tunaangalia na ujazo je umetimia?
Sasa hao mbuzi unaowasifia hapo wanauwezo wakumzidi Duma kwa mbio?
 
Kwanza wamevaa gwanda mbili tofaut hiyo sio okay
 
Hamna kitu hapo
 
Hivi ulishaona watu wa huko chama Wana akili!?
 
Wa tz walivyo na njaa Kali kuvaa unform inayong'aa huku mfukoni hawanakitu wanakua hawana tofauti na wanafunzi wa darasa la 5
 
Aina ya mavazi huendana na umbo la mtu. Wembamba warefu mara nyingi nguo huwapendeza hasa kama zimenyooka sambamba na umbo la mtu. Watu wanene wafupi tena shingo nene na kitambi juu hata ukiwatafutia suti mpya kutoka DPW bado utauona kuvaa tu lakini sio kupendeza. Wanajeshi wa Rwanda huchaguliwa kwa kufuata kipimo cha urefu waliojipangia, mbali na vigezo vingine, lakini wamefanya maboresho ya sare zao kuendana na jeshi la Marekani.
Kuna nchi moja ya ulaya, ambapo ili uingie jeshini ni lazima uwe na Mita I.7 kwenda juu, hii ni mbali na vipimo vingine (Anthropological measurements) ambavyo wamejiwekea kama vigezo muhimu. Hii inamfanya mtu kujiondoa mwenyewe kwenye kinyang'anyiro kwa kulinganisha jinsi ulivyo vis-a-vis vile vinavyohitajika.

Jeshi letu linahitajika kufanya maboresho ya sare zetu ili ziendane na mavazi ya kijeshi yanayovaliwa na majeshi mengi tu Duniani. Ukizitazama sana sare zetu ni zile za miaka ya 50-60. Polisi magereza pia wanatakiwa kuja na "Design" mpya ya mavazi ya kijeshi yanayopendeza.
 
Kila uniform na kazi yake.
Ona hii special forceikiwa kwenye mission hizi hawawezi zipiga wakiwa kitaa
 
FUTI 7 ni chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…