DOKEZO Walimu walioajiriwa Mwaka 2025 Dodoma Jiji waliokidhi vigezo inadaiwa waombwa kitu kidogo ili wathibitishwe kazini

DOKEZO Walimu walioajiriwa Mwaka 2025 Dodoma Jiji waliokidhi vigezo inadaiwa waombwa kitu kidogo ili wathibitishwe kazini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

criticalman

Member
Joined
Mar 14, 2026
Posts
5
Reaction score
0
Watumishi wa TCS na utumishi Dodoma jiji wanaomba rushwa ili wathibitishe walimu kazini.

Walimu wengi tayari wana mwaka na miezi kadhaa kazini. Mfano walioajiriwa February 2025 hadi leo hawajathibitishwa kazini.

Kila wakifuatilia wanambiwa watoe rushwa ili kukamilisha process.

TAKUKURU fuatilieni hili suala walimu wengi wanalalamika

Mbinu wanayotumia ni kutisha walimu kwamba kama hujathibitiswa hutambuliki kama mtumishi.
 
walimu ajira mpya waliokidhi vigezo vya kuthibitishwa kazini tangu February 2026 halmashauri ya dodoma jiji bado hawajathibitishwa kazini .

ukifuatilia TCS na utumishi dodoma jiji baadhi ya maafisa wanaomba rushwa na kusema kama ukitoa rushwa siku hiyo hiyo utathibitishwa kazini

wanatumia maneno ya ulaghai kama usipothibitishwa kazini ni rahisi kufutwa kazi kwamba hutambuliki popote,huwezi kuomba ruhusu kwenye mfumo wa ESS n.k.

halmashauri zote tayari wamethibitishwa kazini kasoro dodoma jiji.



niko tayari kutoa ushahidi kama ukihitajika nawasilisha .
 
TCS ? Hakuna ofisi ya serikali ktk Tanzania yenye jina hilo ambayo inashughulika na walimu
 
tunaombwa rushwa ili kuthibishwa kazini baadhi ya ma maafisa tsc na utumishi takukuru fuatilieni hili
 
Kuthibitishwa kazini ni takwa la sheria na kanuni za utumishi wa umma, why uombwe rushwa? Usitoe rushwa kwa jambo hilo, automatically utathibitishwa tu kazini kadri muda unavyokwenda. Muda ukipita wa kuthibitishwa kazini ofisa utumishi atawajibika kwa uzembe huo kwa kutomthibitisha kazini mtumishi wake. Kama upo upo idara ya elimu tume ya utumishi wa ualimu TSD/TCD wale hutoa barua ya kuthibitishwa kazini haraka sana na kupewa namba yako ya utambuzi. Kama tayari uko kwenye payrall na unapata mshahara usiwe na wasiwasi tayari una ajira, hayo mengine yatakuja yenyewe
 
Watumishi walioajiriwa Mwaka 2025 hadi sasa wamegoma kututhibotisha kazini na Miezi zaidi ya 12 imepita.
Tukiuliza hatupewi Majibu
 
Back
Top Bottom