kimaus
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 582
- 707
Nimekuwa nikipita mara kwa mara mtaa wa Lindi kariakoo ili kuegesha gari kwenye eneo la maegesho gerezani. Ile barabara kuanzia makutano ya mtaa wa Lindi na Msimbazi mpaka makutano ya Lindi na Kawawa Road (Karume) ni mbaya mno.
Eneo ambalo daladala za Tandika zinapaki lina mabwa makubwa ya maji ambayo hayakauki kila siku kutokana na ukubwa wa mashimo. Eneo lote kutoka hapo kwenye daladala mpaka unafika Karume ni mahandaki matupu. Hivi mamlaka (TARURA au TANROAD, au Jiji) hawaioni hii barabara? Kama vile haipo Dar es Salaam tena ni Dsm CBD!!!
Tafadhali wahusika chukueni hatua, tunaharibu magari yetu kwenye hii barabara!