Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, pamoja na shughuli kiendelea kufanyika ila naona kama hapo mbeleni mgogoro utazuka kwa upya. Kwa ku label hivyo bila shaka hawa Malawi kuna kitu wanaplan sio bure. Na sijui kwanini Tz tupo kimya juu ya hili.Hao ni wakina nani wanachukua maji yote ya ziwa Nyasa , Wakianzisha vurugu Malawi itakuwa koloni la Tz, Vipi kwani watanganyika wanazuiwa kutumia maji ya lake Nyasa, au shughuli za kiuchumi hazifanyiki ziwa Nyasa na watanganyika.
Ziwa Lima mafuta hilo sa si tuko bize na mbowe na cheap politicsMkuu, pamoja na shughuli kiendelea kufanyika ila naona kama hapo mbeleni mgogoro utazuka kwa upya. Kwa ku label hivyo bila shaka hawa Malawi kuna kitu wanaplan sio bure. Na sijui kwanini Tz tupo kimya juu ya hili.
Unamwita mnyonge wewe umesahau ‘tuvushe Mwamba tuvushe….’wako bize kumsulubu mnyonge Mbowe
hahahaUnamwita mnyonge wewe umesahau ‘tuvushe Mwamba tuvushe….’
tuwachape ili nasis maninja tuajiriwe na jwtznahisi wanataka kulianzisha tena,mwaka Jana Google haikuwa na mipaka iliyokaa hivyo,hawa mbeleni tutawachapa maana wanazidi zarau sana!!
Isikupe shida Malawi wanaliita Lake Malawi; Tanzania tunaliita Lake Nyasa; na Mozambique wanaliita Lake Niassa!View attachment 2109716
Katika kuperuzi peruzi kwenye google map nimeshtushwa kuona mpaka na jina la ziwa Nyasa vikionekana kama nilivyoattach hapo juu. Hii imekaaje wadau? Naomba mamlaka husika itupe ufafanuzi. Nawasilisha.
Kwanza Malawi yenyewe iliitwa Nyasa, ni ukorofi wenu tu kung'ang'ania vya watuView attachment 2109716
Katika kuperuzi peruzi kwenye google map nimeshtushwa kuona mpaka na jina la ziwa Nyasa vikionekana kama nilivyoattach hapo juu. Hii imekaaje wadau? Naomba mamlaka husika itupe ufafanuzi. Nawasilisha.