Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ankali,majibu yako tuTatizo hapo ni Mbowe.
Nyie mpo huko dar mmetulia tu,hichi kitu kina nishangaza sana
Ingawaje ziwa ni letu pia......ila hata kama lisingekuwa letu yaani nimepakana nalo halafu nisilitumie??
Hapo cha kufanya majeshi yote Tz hadi ya zimamoto ikiwezekana yatumwe malawi washikishwe adabu vizuri
Maana hilo ziwa linatumika na karibia inchi 3Acha uchochezi Mkuu.
Tatizo hapo ni Mbowe.
Wakurochi, kurochi kumehamishiwa Nyasaland utabaki na kurochi kwa mtoni.Ukiona kwenye ramani kuna mstari
"dotted" au " dashed" ina maana kuna jambo hapo, huoni mstari ule ule kule juu upo tofauti, punguzeni presha mtapasuka kama puto bure.
Shida ni jina au mpaka mahali ulipo?Isikupe shida Malawi wanaliita Lake Malawi; Tanzania tunaliita Lake Nyasa; na Mozambique wanaliita Lake Niassa!
Kwani mipaka ilichorwa na Tanganyika au Mkoloni?Kwanza Malawi yenyewe iliitwa Nyasa, ni ukorofi wenu tu kung'ang'ania vya watu
Wasalimie NkatabayTangu enzi za mkoloni ziwa nyasa ni mali ya malawi, dunia yote inakua hivyo isiokuwa Tz tuu. Kwa takriban miaka60 tangu tupate uhuru tumeshindwa kulishugulikia jambo hili either kwa heri au sharii………
Ukitaka kucheka juu ya hili jambo mtafute Mzee MalechelaView attachment 2109716
Katika kuperuzi peruzi kwenye google map nimeshtushwa kuona mpaka na jina la ziwa Nyasa vikionekana kama nilivyoattach hapo juu. Hii imekaaje wadau? Naomba mamlaka husika itupe ufafanuzi. Nawasilisha.
Viongozi wetu hawatuelezi ukweli wa hali ilivyo juu ya umiliki wa hili ziwa hiliView attachment 2109716
Katika kuperuzi peruzi kwenye google map nimeshtushwa kuona mpaka na jina la ziwa Nyasa vikionekana kama nilivyoattach hapo juu. Hii imekaaje wadau? Naomba mamlaka husika itupe ufafanuzi. Nawasilisha.
Tufasirie sasa ili povu letu likauke mkuuUkiona kwenye ramani kuna mstari
"dotted" au " dashed" ina maana kuna jambo hapo, huoni mstari ule ule kule juu upo tofauti, punguzeni presha mtapasuka kama puto bure.