Vyote viwili! Jina la ziwa siyo haki miliki ya Malawi, mabadiliko yo yote lazima yashirikishe nchi zote.Shida ni jina au mpaka mahali ulipo?
Huo ni mpaka fake! Ndiyo sababu Malawi imefungua kesi mahakama ya kimataifa kutaka kuuhalalisha!Lakini kwanini mpaka uonekane kulimega ziwa lilopo upande wa Tz, mbona kwa wenzetu Msumbiji mpaka wa ziwa upo sawa tu?
Ndivyo huwa inachorwa siku zote na hata hilo Ziwa linaitwa Ziwa Malawi.View attachment 2109716
Katika kuperuzi peruzi kwenye google map nimeshtushwa kuona mpaka na jina la ziwa Nyasa vikionekana kama nilivyoattach hapo juu. Hii imekaaje wadau? Naomba mamlaka husika itupe ufafanuzi. Nawasilisha.
Lenu na nani? Mgogoro upo miaka yote na Malawi Kuhusu mipaka.hichi kitu kina nishangaza sana
Ingawaje ziwa ni letu pia......ila hata kama lisingekuwa letu yaani nimepakana nalo halafu nisilitumie??
Hapo cha kufanya majeshi yote Tz hadi ya zimamoto ikiwezekana yatumwe malawi washikishwe adabu vizuri
We zombie mipaka ilichorwa na wakoloni, unavyoona hapo google ndivyo ilikuwa,kiuhalisia Tzn hatuna chetu ila ubabe tuu.Kwani mipaka ilichorwa na Tanganyika au Mkoloni?
Kwa nini hamkutokea mahakamani?ππVyote viwili! Jina la ziwa siyo haki miliki ya Malawi, mabadiliko yo yote lazima yashirikishe nchi zote.
Mpaka upo katikati ya ziwa na siyo huo mpaka fake uliowekwa hapo. Ndiyo sababu Malawi imefungua kesi mahakama ya kimataifa kutaka kuuhamisha na kuuweka pembeni!
Sina hakika na hilo!Kwa nini hamkutokea mahakamani?ππ
mipaka ya ziwa nyasa iliwekwa na wakoloni wa kijerumana na waingereza, kama inavyo onekana kwenye ya google map, wakati wa ukoloni wao waingereza wali iheshimu mpaka unao lipeleka ziwa nyasa loote kwa Malaw. Na sisi waTZ baada ya uhuru tulilala usingizi wa pono badala ya kuchukua hatua stahiki mapema, sasa hii blunder ya wakoloni inaanza kutu costsLakini kwanini mpaka uonekane kulimega ziwa lilopo upande wa Tz, mbona kwa wenzetu Msumbiji mpaka wa ziwa upo sawa tu?
Ha ha nani wewe ?π₯°Wakurochi, kurochi kumehamishiwa Nyasaland utabaki na kurochi kwa mtoni.