KERO Mamlaka na Watu wa Afya ya Mazingira mpo wapi kusimamia Soko la Vyakula Ilala Boma jijini Dar?

KERO Mamlaka na Watu wa Afya ya Mazingira mpo wapi kusimamia Soko la Vyakula Ilala Boma jijini Dar?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hii ni picha ya watu Wanafanyabiashara juu ya maji taka yanayosambaa eneo hilo la soko.

Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Au tunasubiri mlipuko uanze kisha ziundwe Kamati kufuatilia?

Kipindupindu kikianza kinaharibu shughuli zote na uchumi wa mtu mmoja mpaka familia.

20250105_082804.jpg
 
Hii ni picha ya watu wanafanya biashara juu ya maji taka yanayotoka katika chamber

Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa?

Kipindu pindu kikianza kinaharibu shughuli zote na uchumi wa mtu mmoja mpaka familia

View attachment 3192878

Mlipuko wa kipindupindu ukitokea ndipo kamati zitaundwa kubaini chanzo cha mlipuko wenyewe.
 
Nilienda hapo siku moja kabla ya Xmass kwa kweli nilishindwa kununua chochote kwani ikikuwa lazima uvae viatu vya tope ili uweze kuingia sokoni
 
Back
Top Bottom