A Anonymous Guest Jan 5, 2025 #1 Hii ni picha ya watu Wanafanyabiashara juu ya maji taka yanayosambaa eneo hilo la soko. Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Au tunasubiri mlipuko uanze kisha ziundwe Kamati kufuatilia? Kipindupindu kikianza kinaharibu shughuli zote na uchumi wa mtu mmoja mpaka familia.
Hii ni picha ya watu Wanafanyabiashara juu ya maji taka yanayosambaa eneo hilo la soko. Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Au tunasubiri mlipuko uanze kisha ziundwe Kamati kufuatilia? Kipindupindu kikianza kinaharibu shughuli zote na uchumi wa mtu mmoja mpaka familia.
Dr PL JF-Expert Member Joined Sep 13, 2024 Posts 327 Reaction score 537 Jan 5, 2025 #2 Anonymous said: Hii ni picha ya watu wanafanya biashara juu ya maji taka yanayotoka katika chamber Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Kipindu pindu kikianza kinaharibu shughuli zote na uchumi wa mtu mmoja mpaka familia View attachment 3192878 Click to expand... Mlipuko wa kipindupindu ukitokea ndipo kamati zitaundwa kubaini chanzo cha mlipuko wenyewe.
Anonymous said: Hii ni picha ya watu wanafanya biashara juu ya maji taka yanayotoka katika chamber Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Kipindu pindu kikianza kinaharibu shughuli zote na uchumi wa mtu mmoja mpaka familia View attachment 3192878 Click to expand... Mlipuko wa kipindupindu ukitokea ndipo kamati zitaundwa kubaini chanzo cha mlipuko wenyewe.
Clarity JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 1,828 Reaction score 2,637 Jan 5, 2025 #3 Nilienda hapo siku moja kabla ya Xmass kwa kweli nilishindwa kununua chochote kwani ikikuwa lazima uvae viatu vya tope ili uweze kuingia sokoni
Nilienda hapo siku moja kabla ya Xmass kwa kweli nilishindwa kununua chochote kwani ikikuwa lazima uvae viatu vya tope ili uweze kuingia sokoni